Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.
Hii iwe hata kwa matangazo mengine, waangalie namna bora ya kuyapeleka hewani ili wazee wa drink.com responsibly waendelee kufurahia.
Watoto walindwe na vishawishi.