ITV kwenye taarifa za habari achaneni na matangazo ya pombe

Imani yako sio Imani ya Dunia nzima mzee. Ukiona tangazo badili Channel. Zipo TV za Imani yako tune huko. Busara sio ya kila mtu ila jitahidi kuishi hivyo
Mleta mada ni mdini anatamani nchi iendeshwe kidini( kiislamu) sasa anaona aibu kusema ndio anakimbilia pombe hizo hizo hela haram (za pombe) ndio zinajenga misikiti na hawazikatai shenzi kabisa
 
Ndugu Mjumbe mbona umemalizia hoja yako kwa hasira sana😀
 
Mbona hamsemi yule mtangqzaji anayejinadi kwa kuvaa ngua fupi,
Au haujamuona?
 
Mleta mada ni mdini anatamani nchi iendeshwe kidini( kiislamu) sasa anaona aibu kusema ndio anakimbilia pombe hizo hizo hela haram (za pombe) ndio zinajenga misikiti na hawazikatai shenzi kabisa
Punguza jazba, usikute unapiga komoni huko mpakni. Kesho nakutafuta nitafika jioni tukalewe kidogo.

Nyie ndo mnaokunywa hadi mtangaziwe.
 
Kwahiyo....
Sio lazima kutazama hiyo na Kama Taarifa ya Habari zipo televisheni nyingine zinaonesha
Matatizo sio kuyakimbia bali ni kuyakabili. Tumepinga ushoga kwani wote wanatumia mashoga?

Si tungesema tuachane nao mbona wengine wapo wanatumia Ke.

Hata hili linaweza kuzuiwa muda huo likawekwa muda mwingine.
 
IPP Media ni kama wamechanganyikiwa

1732829034984.png
 
Matatizo sio kuyakimbia bali ni kuyakabili. Tumepinga ushoga kwani wote wanatumia mashoga?

Si tungesema tuachane nao mbona wengine wapo wanatumia Ke.

Hata hili linaweza kuzuiwa muda huo likawekwa muda mwingine.
Hoja yako ni nyepesi sana labda ungekuwa huko Arabuni wangekuelewa hao unaowapa ushauri. Au zenji kidogo.
Hapo hili ni tatizo kwako tu sio kwa wote na ni kitu ambacho kwa serikali sio haramu. Huko ndio mapato ya Taifa hutokea mzee😅
 
Mleta mada ni mdini anatamani nchi iendeshwe kidini( kiislamu) sasa anaona aibu kusema ndio anakimbilia pombe hizo hizo hela haram (za pombe) ndio zinajenga misikiti na hawazikatai shenzi kabisa
Shenzi mwenyewe, nini kutukanana bwana.
 
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.

Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.

Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.

Hii iwe hata kwa matangazo mengine, waangalie namna bora ya kuyapeleka hewani ili wazee wa drink.com responsibly waendelee kufurahia.

Watoto walindwe na vishawishi.

Acheni wachaga wapeane mapande ya madili
 
Back
Top Bottom