ITV kwenye taarifa za habari achaneni na matangazo ya pombe

ITV kwenye taarifa za habari achaneni na matangazo ya pombe

Tatizo linaanzia hapo kwenye Taarifa ya Habari,Huwa ni Taarifa ya Habari lakini habari zenyewe hazijulikani..
 
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.

Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.

Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.

Hii iwe hata kwa matangazo mengine, waangalie namna bora ya kuyapeleka hewani ili wazee wa drink.com responsibly waendelee kufurahia.

Watoto walindwe na vishawishi.
Kuna mabo mabaya zaidi kwa watoto wetu yanatangazwa kuliko hiyo pombe. Kwa mfano ma-chawa wa Samia wanapopewa kipaumbele cha kusifu mambo ya uongo ni hatari kwa watoto kuliko pombe.
 
Back
Top Bottom