Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV.
Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA.
ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari wameanza kuwa makanjanja.
Dunia ya leo waandishi wa ITV hawajui tofauti kati ya Engineer( mhandisi) na Contractor(Mkandarasi)
Leo Mlimani City kulikuwa na mkutano wa mwaka wa WAHANDISI, chini ya Bodi ya ERB( ENGINEERS REGISTRATION BOARD).
ITV katika habari yao yote, imeandika WAKANDARASI badala ya WAHANDISI.
Pichani ni Mwenyekiti wa Bodi ya ERB, Mhandisi Menye Manga.
Pathetic.!
Super Brand my ass!