Watu wanajiita Super Brand wakati wanafanya kosa la kimsingi kabisa la uandishi.Mjuba Mbaga Jr lini Azam imekuwa super brand?, labda ungesifia ubora wa picha ni HD
Ndio maana nimeandika kichwa cha mada kuwa wanashuka viwango.Mkuu ni sehemu ya maisha ya wanadamu duniani kukosea haijalishi ni nani. Uzuri ni kwamba umeonyesha bado kua na imani nao na ndio maana kwenye hili chapisho umewasifia vile vile. Ko bado ubora wao uko pale pale achilia mbali kosa lao hilo.
Labda hujawahi kufanya kazi kwenye media House Mkuu. ila kiuhalisia wale ndio wanaandika hayo maneno wanapewa tu majina ya wahusika na kichwa cha habari tu cha storyNyie pia hamjui kitu.
Hao watu wa graphics wahajitungii kuandika wenyewe tuu bali wanapewa script nzima yenye maneno ya kipindi kizima, wao wanafanya copy and paste tuu ni mara chache sana wao kuandika na hata kama wakiandika bado maproducer wanakuwepo hapo kuhakikisha na pia hao hao maproducer ndo wanamwambia mtu wa graphics aandike kitu gani.
Nafanya kazi kwenye TV hvy naelewa nachosema.Labda hujawahi kufanya kazi kwenye media House Mkuu. ila kiuhalisia wale ndio wanaandika hayo maneno wanapewa tu majina ya wahusika na kichwa cha habari tu cha story
labda mfumo wa TV yenu au structure yenu muliamua iwe hivyo., kuna tv moja naifahamu watu wa TX ndio wanahusika na kila kitu producer akishawakabidhi show wao wanamalizia kila kitu, hivyo kila sehemu kuna utaratibu wakeNafanya kazi kwenye TV hvy naelewa nachosema.
Wanaandikaje maneno wakati producers ndo wanajua story nzima?
Kwahy hao maTX ndo wanaanza kuangalia hizo habari na kuzitungia script?labda mfumo wa TV yenu au structure yenu muliamua iwe hivyo., kuna tv moja naifahamu watu wa TX ndio wanahusika na kila kitu producer akishawakabidhi show wao wanamalizia kila kitu, hivyo kila sehemu kuna utaratibu wake