Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Aibu sana!Watu wengi hawajui au wanachanganya sana wahandisi na wakandarasi. Ila kwa media House kama ITV kukosea kitu kinacholeta tofauti kubwa ni AIBU..
AIBU...AIBU YAKO, HATA WEWE !!! Joyce Mhavile
wanaondika caption sio waandishi wa habari Kiongozi. kuna watu wanitwa CG&VT hao ndio wanamakosa kwa hiyo hata andiko lako umekosoa kama ambavyo wewe unachanganya waandishi wa habari na vitengo vingine.View attachment 3478913
Nimekaa hapa nafuatilia habari za siku katika channelinpendwa ya ITV.
Wenywe wanajiiter SUPER BRAND : EAST AFRICA.
ITV hawana usuper brand wowote, na sasa wana waandishi wa habari maknjanja.
Dunia ya leo waandishi wa ITV hawajui tofauti kati ya Engineer( mhandisi) na Contractor(Mkandarasi)
Leo Mlimani City kulikuwa na mkutano wa mwaka wa WAHANDISI, chini ya Bodi ya ERB( ENGINERS REGISTRATION BOARD).
ITV katika habari yao yote, imeandika WAKANDARASI badala ya WAHANDISI.
Pichani ni Mwenyekiti wa Bodi ya ERB, Mhandisi Menye Manga.
Pathetic.!
Super Brand my ass!
VG na VT ndio kina nani kwa faida ya umma wa wana JF??wanaondika caption sio waandishi wa habari Kiongozi. kuna watu wanitwa VG&VT hao ndio wanamakosa kwa hiyo hata andiko lako umekosoa kama ambavyo wewe unachanganya waandishi wa habari na vitengo vingine.
Tell it to the birds-Super Brand!wanaondika caption sio waandishi wa habari Kiongozi. kuna watu wanitwa VG&VT hao ndio wanamakosa kwa hiyo hata andiko lako umekosoa kama ambavyo wewe unachanganya waandishi wa habari na vitengo vingine.
Vt Graphic ni wale wanaochanganya picha na kuweka Yale maandishi pale chini ili habari iwe na mvuto na ieleweke.VG na VT ndio kina nani kwa faida ya umma wa wana JF??
Making it even worse!Unalaumu media nzima kana kwamba wote walikwenda ku cover hiyo habari. Habari mpaka iende hewani inakuwa imechakatwa vya kutosha. Mhariri ni wa mwisho kupitisha
SAFI SANA UMETOA ELIMU KUBWA SANA.Vt Graphic ni wale wanaochanganya picha na kuweka Yale maandishi pale chini ili habari iwe na mvuto na ieleweke.
Huyo ndio wa kumlaumu labda na mhariri maana Ile ni pre recorded video so ni lazima aliipitia.
Ila pia huwenda aliipitia kabla haijafanyiwa graphics so still wa kumlaumu ni mtu wa department ya vt Graphics
mjuba makanjanja watoke wapi wakati JAB tayari ipo na inataka waandishi wote wawe na ithibati/press card?Making it even worse!
Huyo mtu wa graphics aliota kuwa leo kuna mkutano wa wahandisi au wakandarasi?
Watu wa Graphics hawakuenda site, hivyo lazima information imetoka kwa waandishi wa habari.
Na Mhariri kilaza kweli kweli, kaipitia hiyo habari?
Au alisha ondoka na kuwaachia makanjanja kufanya vitu vyao!
Ndio maana wanaitwa makanjanja, au vilaza!mjuba makanjanja watoke wapi wakati JAB tayari ipo na inataka waandishi wote wawe na ithibati/press card?
caption wanajitungia wao au wanapewa?Vt Graphic ni wale wanaochanganya picha na kuweka Yale maandishi pale chini ili habari iwe na mvuto na ieleweke.
Huyo ndio wa kumlaumu labda na mhariri maana Ile ni pre recorded video so ni lazima aliipitia.
Ila pia huwenda aliipitia kabla haijafanyiwa graphics so still wa kumlaumu ni mtu wa department ya vt Graphics
makanjanja kivipi wakati wameajiriwa, kampuni kubwa kama ile iajiri makanjanja?Ndio maana wanaitwa makanjanja, au vilaza!
Vyeti wanavyo kwa sana tu!
Boss, kama wewe ndiye mwandishi, declare interest.makanjanja kivipi wakati wameajiriwa, kampuni kubwa kama ile iajiri makanjanja?
Waandishi unawalaumu Bure Mkuu waandishi wa habari hawaandiki zile content zinazopita pale chini wale ni watu wa VT Graphics sio waandishi wa habari
Nyie pia hamjui kitu.wanaondika caption sio waandishi wa habari Kiongozi. kuna watu wanitwa CG&VT hao ndio wanamakosa kwa hiyo hata andiko lako umekosoa kama ambavyo wewe unachanganya waandishi wa habari na vitengo vingine.