Hata presenter wao hawajakaa kimichezo , tai ndefu na suruali ya kuchomekea😀🤣😆 ITV kwenye michezo ndo miyeyusho kabisa, wanakazana na habari za cricket na handball
AiseeMengi alikufa na vyombo vyake vya habari ,,warithi wameshindwa kbs kufanya marekebisho ,,capital redio iinajifiaq kifo Cha trtb
Habari za michezo ITV lazima mashindano ya kukimbiza kuku yawepo😀🤣😆 ITV kwenye michezo ndo miyeyusho kabisa, wanakazana na habari za cricket na handball