ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

😀🤣😆 ITV kwenye michezo ndo miyeyusho kabisa, wanakazana na habari za cricket na handball
Huwa wananichosha sana , halafu miaka nenda Rudi ni hivyo hivyo
 
Ili kupewa ile nembo unatakiwa kulipia kila mwaka, huwa haiakisi ubora wa brand au bidhaa... Ni kwamba anayelipa ndio anapata.
Kumbe?! Nani anamiliki Hiyo super brand ? Which organization? Afu sijawahi kusikia Hizo tuzo kbs wala nominations. So huwa najiuliza itv ame compete na nani hadi kashinda Kila mwaka?
 
Hiyo tuzo huwa wanajipa wenyewe tangu nikiwa mdogo naskia tu AiiiiTiiiiViii Suuuupeeer braaand Aaaafrika mashariki
Nimecheka sana. Ulivoiandika nimeisoma kwa sauti kichwani y’a Yule anaetangazaga😂
 
Wanaleta ubahili wa kaskazini hadi kwenye maboresho ya super brand channel?
 
Imepita karibu miaka kadhaa jana ndio nimeangalia ITV taarifa ya habari mwishoni naona ubora wao upo vile vile na rangi ile ile toka Mzee Mengi alivyofariki naona wameendelea kuwa wasaka nyoka tu.
 
Mengi alikufa na vyombo vyake vya habari ,,warithi wameshindwa kbs kufanya marekebisho ,,capital redio iinajifiaq kifo Cha trtb
Hivi Capital Tv huwa inaonekana kwenye decoder ya kampuni ipi!?
 
Back
Top Bottom