ITV mnapata tuzo za super brand africa mashariki anayetoa achunguzwe

Hata wewe ukitaka Super Brand unapata, pesa yako tu.
 
Watangazaji wamekaa pale muda mrefu mpaka wamepazoe kama nyumbani kwao, toka naanza primary namsikia abubakar sadiki aka kwa fujo mpaka nimemaliza chuo nipo mtaani mwaka wa 8 bado yupo tu itv,hawa jamaa sijui hawatoagi ajira mpya, mijamaa yao ya kale inafanya kazi kwa mazoea na haijui kwenda na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…