#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

Ha..ha..haa nani alikudanganya kuwa kuamini Mungu ni ulokole?
Unajisahaulisha Mkuu. Tuvae barakoa, lkn pia tusijazane kwenye daladala, kwenye vyombo vya moto tunaambukizana sana..hivi sasa watoto wetu wakienda shule (Carrier) huusambaza majumbani
 
Ndivyo tunavyofanya tatizo kuna watu wanataka tujilinde kama wao. Tunasali sanaa, tunajifukiza, kunakunywa Covidol, tunachapa mwendo uchumi wa kati.
Ukanda wetu temperature jua kali (mvua kubwa zinaonyesha huwazoa virus na jua likiwaka huwaua) hutusaidia sana. Hivyo haipaswi Tukae ndani. Tisiwaige wao. Lakini wazee hawana pilika kama vijana wanawahi kushindwa na kufa. Tuondoe dhana ya kuwa hakuna korona..ipo tuishi nayo hivyo. Hiyo ndiyo argument yangu...
 
Ukanda wetu temperature jua kali hutusaidia sana. Hivyo haipaswi Tukae ndani. Tisiwaige wao. Lakini wazee hawana pilika kama vijana wanawahi kushindwa na kufa. Tuondoe dhana ya kuwa hakuna korona..ipo tuishi nayo hivyo. Hiyo ndiyo argument yangu
Well said Brethren,nimekuelewa umetushauri vizuri sana.
 
Covid 19 kweli ipo na variant zinazo ongelewa ni UK, SA na Brazil hii ya Tanzania nadhani SA wanataka kutupakazia propaganda tu.
 
Back
Top Bottom