#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.

Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
Wana tatizo gani na watu kumwamini Mungu, nyambaff mashetani wakubwa.....wanafikiri Magufuli kufariki ndio watatuingia kirahisi na propaganda zao, watasubiri sana...
 
Daah ishu ya Corona wanajua wenyewe kwa kweli kuanzia wiki iliyopita hapa SA imeonyesha maambukizi mapya hakuna tena wameamia bongo na kirusi chenye nguvu mara kumi zaidi tena kwa abiria waliotoka Tanzania kipindi kile walisema kwa abiria waliotoka SA wamegundua kirusi chenye sifa tofauti na mwanzo hii ya ten times ni kiboko sijui wanataka nini kwetu maana tupo kimya kuhusu kuagiza dawa...
 
Ishi maisha bila kutukana Mkuu mbona inawezekana unachanganya Mungu hapo hapo na matusi tena...
Kama mtu anakushangaa kumwamini Mungu, ina maana yeye anamwamini shetani....shenzi sana mabwege hayo.
 
Huyu mzungu alikuja Tanzani akajionea hali halisi. Hiki kifo kimepigia mstari habari.
 
Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.

Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.

Kazi kweli kweli. Inataka mbumbumbu au a renowned seasoned suicide bomber kui challenge hii documentary.

Kama watanzania imetuacha kweupe.

Hiiiiii bagosha!
 
Mbona hawasemi waingereza kibao TZ wamekuja kula bata, wamechoka kuganda na barafu la lock down,kuna wengine 37 wanaingia Bongo kutoka Kenya jumatatu.
 
Corona kwa jina Yesu haitaendelea kuua watanzania . Tanzania ni Taifa la Mungu na Ugonjwa Huu tumemkabidhi Mungu.
 
Mbona sisi maisha yanaendelea ila wao wanakufa tu hovyo,watuache mbwa hao na mbwa wenzao wote wanaozipenda stories zao.
Yaani unata kujilinganisha na taifa linalotoa takwimu kila siku? Unasema hali inaendelea wakati hufahamu tatizo ni kubwa kiasi gani??! Au unajisahaulisha pale takwimu zetu zilipopanda ghafla from 60's to 509 within a week, na baada ya kuona hivyo, Magufuli akaamuru wanaotoa vipimo wafutwe kazi kwa sababu wanatoa takwimu
 
Ni janga la dunia halikuanzia kwetu tuendelee kuchapa kazi huku tukimtanguliza Mungu mbele
 
Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.

Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
Wanakuja kwenye taifa letu kututafiti.
Mabeyo uko wapi sasa mdau wangu
 
Back
Top Bottom