Ahazy
Member
- Mar 22, 2021
- 8
- 18
Walichokifanya kipo sahihi kwao, lkn wanajisumbua sana. Shida si kuwepo kwa Corona Tanzania, shida ni kwamba hata kwao ipo. Hivyo ni ngumu kumshauri mtu wakati tatizo hilohilo analoliptia mwenzako linakutoa jasho.
Kwao watu wanakufa kwa kiwango kikubwa kwa siku lakini ushabiki wote upo Tanzania kwa Rais ambaye alifanya mambo kwa imani aliyoiamini.
Pamoja na kujifungia lakini bado watu wanakufa na hawayafuatilii kama wanavyoifuatilia Tanzania.
Magufuli alisimamia katika msimamo wake sababu hata wao pamoja na misimamo yao na uwezo wao bado corona haijawaacha salama
Mungu aturehemu na atusaidie katika hili.