#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

Tukizika kichwa chini takoni haipiti
[emoji28][emoji28][emoji56][emoji56][emoji56]View attachment 1735939
Fake news there are no much people travelling between Tanzania and Angola,, take it as a fake news like HE Trump used to say and Tanzanians should wake up and ask themselves why the west and all its apparatus like WHO are busy fingering TZ? There is only one big reason that Tanzania told them thiefs that NO you are not having it meaning our resources despite of the Lissu's and Zitto's waging a fight against Tanzania on the side of thieves ,,wasaliti, vibaraka, walafi wa Tanzania
 
Corona ipo inaua lakini pia inapona kwa wengine,

Malaria ipo inaua lakini pia inapona kwa wengine,

TB ipo inaua lakini pia inapona kwa wengine,

Presha ipo inaua lakini pia inapona kwa wengine,

Ugonjwa wa Moyo upo unaua lakini wengine hupona,

Hepatitis ipo inaua lakini pia inapona kwa wengine,

Cancer ipo inaua lakini pia inapona kwa wengine,

HIV ipo inaua lakini pia inapona kwa wengine,

Ni Upumbavu kwa dunia ya sasa iliyozajwa magonjwa na maradhi ya kila aina kung'ang'ania ugonjwa mmoja na kusahau mengine,

Ni Ujinga kushabikia vifo vya wengine wakati sote tupo njia moja,

Ukinyoosha kidole kimoja kwa mwenzio, vinne vyote vyakutizama weye.
 
Assumption zangu
Nahisi kama taifa tulipotea kipindi kile tuna pokea wale wazungu toka mataifa ya Ulaya na Marekani kuna kipindi wali miminika kwa wingi nahisi pale tulikosea
 
Ajabu hakuna mwanachama wa Chadema aliyekufa kwa Corona zaidi tunawaona akina Halima Mdee na wenzake wakipeta tu bungeni!
Wenzako walishatabiri mwaka uneshaisha sasa unabii haujatimia angalia sana Tanzani ni Nchi barikiwa.
 
Mungu wetu ni mwema atatupigania analijua taifa hili kabla ya kuimbwa kwa misingi ya dunia
Ulokole huu nauchukia sana. Ugonjwa una namna ya kuchukua tahadhari nyie mnasema Mungu. Sibirini atawapenda zaidi
 
Back
Top Bottom