Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 4,151
- 4,277
Tumiamini Mungu na tujilinde pia
Unajisahaulisha Mkuu. Tuvae barakoa, lkn pia tusijazane kwenye daladala, kwenye vyombo vya moto tunaambukizana sana..hivi sasa watoto wetu wakienda shule (Carrier) huusambaza majumbaniHa..ha..haa nani alikudanganya kuwa kuamini Mungu ni ulokole?

Ukanda wetu temperature jua kali (mvua kubwa zinaonyesha huwazoa virus na jua likiwaka huwaua) hutusaidia sana. Hivyo haipaswi Tukae ndani. Tisiwaige wao. Lakini wazee hawana pilika kama vijana wanawahi kushindwa na kufa. Tuondoe dhana ya kuwa hakuna korona..ipo tuishi nayo hivyo. Hiyo ndiyo argument yangu...Ndivyo tunavyofanya tatizo kuna watu wanataka tujilinde kama wao. Tunasali sanaa, tunajifukiza, kunakunywa Covidol, tunachapa mwendo uchumi wa kati.
Well said Brethren,nimekuelewa umetushauri vizuri sana.Ukanda wetu temperature jua kali hutusaidia sana. Hivyo haipaswi Tukae ndani. Tisiwaige wao. Lakini wazee hawana pilika kama vijana wanawahi kushindwa na kufa. Tuondoe dhana ya kuwa hakuna korona..ipo tuishi nayo hivyo. Hiyo ndiyo argument yangu
Wao wanaoigopa na kujifungia imewafanyaje?Walioleta Kejeli mnajua ilipowapeleka lakini.