Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza ITV wameitoa tamthiliya hiyo muda huo na kuweka tamthikiya nyingine ambayo haifai hata kuangalia na watoto.Natamani uzalo irudi saa 1:30 jioni.