Kama na una watoto halafu Unaandika huu uharo wanao Ni wa kuonea huruma Sana.Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza ITV wameitoa tamthiliya hiyo muda huo na kuweka tamthikiya nyingine ambayo haifai hata kuangalia na watoto.Natamani uzalo irudi saa 1:30 jioni.
Ungemshauri aangalie mambo au movie zipi?ππKama na una watoto halafu Unaandika huu uharo wanao Ni wa kuonea huruma Sana.
Atafute pesa, TV Ni kwa ajili ya Katuni za watotoUngemshauri aangalie mambo au movie zipi?ππ
Ok.Akoshazipata aendelee na shughuli gani kwa mfuatano?πππAtafute pesa, TV Ni kwa ajili ya Katuni za watoto
Dude,Saa 1:30PM unapaswa uwepo BAA na sio kukaa living room na watoto wadogo unaangalia tamthilia.Binafsi mimi na watoto wangu hupenda kuangalia vipindi vya ITV kwa sababu vingi ni vizuri hata kwa watoto.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala.Cha kushangaza ITV wameitoa tamthiliya hiyo muda huo na kuweka tamthikiya nyingine ambayo haifai hata kuangalia na watoto.Natamani uzalo irudi saa 1:30 jioni.
Dah! Nilitaka kumshauri hivo hivo. Yaani mwanaume saa moja na nusu upo home unaangalia Uzalo badala ya kuwa baa na wana mnapanga utaratibu na kuweka mifumo?Dude,Saa 1:30PM unapaswa uwepo BAA na sio kukaa living room na watoto wadogo unaangalia tamthilia.
Kutafuta pesa hakunaga mwishoOk.Akoshazipata aendelee na shughuli gani kwa mfuatano?πππ
Samahani lakini muda huu naona kama ni mzuri kwa watoto kujisomea wenyewe, yaani kuangalia madaftari na kudurusu yale waliyosomeshwa shuleni siku ile.Kwa muda mrefu tulizoea kuangalia tamthiliya ya uzalo saa 1:30 jioni,kifupi tamthiliya hii inafaa hata kuangaliana watoto kwa sababu muda huo hata watoto wanakua hawajalala