Swagger is alive
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 559
- 467
Vidole kwenye mikono na miguu yako havilingani.. Kila mtu aishi anavyotaka ili mradi havunji sheria za nchi..
Kama Pablo alikuwa anaingiza $ 60 Million na akawa anafanya siri wewe ulijuaje??
Mkuu weka na sura yakosio yeye tu mwenye maburungutu.
Kumbeeeee...Kuna jamaa yangu yuko kampala anafanya kazi media house moja kubwa alinitumia DM za zari kwa Ivan wakati wa ile issue ya domo ya nyumba wakati wa BD ya Zari. Zari alikuwa anamplease sana Ivan asijibu wala kufanya lolote n its like zari anajua how rich gang are capable of doing. N its like zari ana meet sana na Ivan huko SA.
Halafu hawa rich gang wakitaka kuexpose kila mawasiliano ya zari kwa Ivan mbona domo atamkimbiza zari mchana kweupe
[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekani.hahaaaahaa!mganga wa kienyeji!!
Nauza vocha za jumla na rejarejaKwani wewe unafanya shughuli gani ya kukuingizia kipato?
[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekani.
lakini kwan akina dada mtamind hilo..as long as unapewa kiburungutu kimoja kimoja cha dola kila siku
hii ni pesa ya zimbabwe,Kiukweli naomba mwenye info za kutosha za huyu jamaa atuambie anapiga ishu gani za kuingiza kiasi hicho? Mana sio kwa mabulungutu hayo.
Nakumbuka juzi kati mr diamond(nlikuja kuamini ni zari alifanya hivo) alipotoa kile kijembe siku chache baadae ivan alipost amekaa na cash money wenzake wamepanga "mihela" midola mi euro kwenye meza hio haitoshi jamaa akaanza kurusha kwa kamera man viburungutu vya dola
Anyway tuache hayo mana nsije kuwachokoza akina diamond humu.
Back to ivan, anapiga ishu gan huyu aise....mara nasikia ana tenda serikalini, mara anamiliki chuo huko south africa(sijui kama kweli).
Akina geniveros na akina miss chaga najua nawarusha roho nkiwaonesha madolari kama haya ...wadada changamken tena yuko single mshikaji..ila mtakua mnajiuliza mwanamke mwenzenu zarina ameondokaje pale na pako loaded [emoji23][emoji23]
Kweli life is not fair...ana tabia kama za floyd mayweather vile..mtu anaonesha kiburungutu cha dola mbele yako halaf anachat na simu halafu ukijichek wewe mfukoni una buku teni tu.
View attachment 415722
View attachment 415723
View attachment 415724
View attachment 415725
View attachment 415726
View attachment 415727
View attachment 415728
View attachment 415729
View attachment 415730
Mbona sasa still tunaambiwa anamfata inbox jamaa na kulia lia shidando ishu zake hizo
ashakamatwaga kwa hizo mambo!
kuhusu mpunga km zari the gold digger la East Africa kamkimbia who am I!!
Hayahii ni pesa ya zimbabwe,shenz kabisa.
Mkuu weka na sura yako
[emoji23] sawa mkuuHahahahaaha unataka ulinganishe sura na mkwanja siku zote huwa haviendani amini tu hayuko peke yake mwenye pesa ndefu!
[emoji23] ila si ndo protocal inavosema unapiga picha ukiwa umeyashika hayo maburungutuHahahahaaha unataka ulinganishe sura na mkwanja siku zote huwa haviendani amini tu hayuko peke yake mwenye pesa ndefu!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Haaaa!hii ni pesa ya zimbabwe,shenz kabisa.
Pablo Escobar sio Nas Escobar point of correction.Muuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
mganga yule!Mbona sasa still tunaambiwa anamfata inbox jamaa na kulia lia shida
so ni mganga kweli au pretend
Hahaha Mawazo ya mkosaji hayo joh! Atakula bata na wew utaendelea kula unacho kipata na yeye ataendelea kula acho kitaka na wote tutakufa!Msema kweli ni futi 6