Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Vidole kwenye mikono na miguu yako havilingani.. Kila mtu aishi anavyotaka ili mradi havunji sheria za nchi..

Kama Pablo alikuwa anaingiza $ 60 Million na akawa anafanya siri wewe ulijuaje??

Soma Autography ya Pablo, sio maneno yangu its true. Hana picha akiwa ameshika hata dollar moja.

My point sio diversity ya life styles, because hata vichaa ni tofauti na wenye akili timamu.

My point ni kuwa, attachments on show-off?

Kuna rich peoples ambao hawana hiyo show-off na wana pesa.

And beside, at the end everyone was born naked and we will die naked. We will leave everything, hatutaondoka hata na senti moja, not even our bodies and its beautiful look, tutaacha vyote.

Then we can do something meaningful in life, something that can not decay. Sio sifa.
 
7735e8bb95b4b49a99fc532138d0210a.jpg
sio yeye tu mwenye maburungutu.
Mkuu weka na sura yako
 
Kuna jamaa yangu yuko kampala anafanya kazi media house moja kubwa alinitumia DM za zari kwa Ivan wakati wa ile issue ya domo ya nyumba wakati wa BD ya Zari. Zari alikuwa anamplease sana Ivan asijibu wala kufanya lolote n its like zari anajua how rich gang are capable of doing. N its like zari ana meet sana na Ivan huko SA.
Halafu hawa rich gang wakitaka kuexpose kila mawasiliano ya zari kwa Ivan mbona domo atamkimbiza zari mchana kweupe
Kumbeeeee...
 
[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekani.
lakini kwan akina dada mtamind hilo..as long as unapewa kiburungutu kimoja kimoja cha dola kila siku

ndo ishu zake hizo

ashakamatwaga kwa hizo mambo!

kuhusu mpunga km zari the gold digger la East Africa kamkimbia who am I!!
 
Kiukweli naomba mwenye info za kutosha za huyu jamaa atuambie anapiga ishu gani za kuingiza kiasi hicho? Mana sio kwa mabulungutu hayo.

Nakumbuka juzi kati mr diamond(nlikuja kuamini ni zari alifanya hivo) alipotoa kile kijembe siku chache baadae ivan alipost amekaa na cash money wenzake wamepanga "mihela" midola mi euro kwenye meza hio haitoshi jamaa akaanza kurusha kwa kamera man viburungutu vya dola

Anyway tuache hayo mana nsije kuwachokoza akina diamond humu.

Back to ivan, anapiga ishu gan huyu aise....mara nasikia ana tenda serikalini, mara anamiliki chuo huko south africa(sijui kama kweli).

Akina geniveros na akina miss chaga najua nawarusha roho nkiwaonesha madolari kama haya ...wadada changamken tena yuko single mshikaji..ila mtakua mnajiuliza mwanamke mwenzenu zarina ameondokaje pale na pako loaded [emoji23][emoji23]

Kweli life is not fair...ana tabia kama za floyd mayweather vile..mtu anaonesha kiburungutu cha dola mbele yako halaf anachat na simu halafu ukijichek wewe mfukoni una buku teni tu.
View attachment 415722

View attachment 415723

View attachment 415724

View attachment 415725

View attachment 415726

View attachment 415727

View attachment 415728

View attachment 415729

View attachment 415730
hii ni pesa ya zimbabwe,
 
ndo ishu zake hizo

ashakamatwaga kwa hizo mambo!

kuhusu mpunga km zari the gold digger la East Africa kamkimbia who am I!!
Mbona sasa still tunaambiwa anamfata inbox jamaa na kulia lia shida

so ni mganga kweli au pretend
 
Hahahahaaha unataka ulinganishe sura na mkwanja siku zote huwa haviendani amini tu hayuko peke yake mwenye pesa ndefu!
[emoji23] ila si ndo protocal inavosema unapiga picha ukiwa umeyashika hayo maburungutu
 
Brother ukiyachunguza maisha ya mtu utashindwa ya kwako fanya kazi upate hela ukiwa kijana halafu una wivu ukifika Mzee unakuwa mchawi ww
 
Muuza madawa maarufu Nas Escobar anayekadiriwa alikua akiingiza dollar million 60 kwa siku hakuwahi kupost Picha ya pesa na aliamini kupost pesa Ni umaskini wa akili au Ni stress iliyopitiliza.
Pablo Escobar sio Nas Escobar point of correction.
 
Mbona sasa still tunaambiwa anamfata inbox jamaa na kulia lia shida

so ni mganga kweli au pretend
mganga yule!

Zari na Ivan ni partners in crimes na ukumbuke wale ni wazazi wa watoto wa3

Naamini mpk Leo Ivan anakula mzigo ule kiulaini!

Na mondi anachunwaaa!!

Hujawahi ona mwanamke kaolewa Ila bwana ake wa longi akimtaka anampata kwa urahisi tu!

So Mwisho wa mchezo Zari atarudi kwa ivan !!


Amini maneno yangu!
 
Back
Top Bottom