Ivan Ssemwanga anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato?

Iliachiwa sextape sijui clip na hajaachwa mtu, usipende kuwa mpiga ramli kwenye mapenzi ya wenzio. Wakichokana wataachana tu.
 
Sasa hapa nani ni mganga wa kienyeji, wewe au Ivan au wote, najaribu kujiuliza umeyajuaje hayo uliyoyasimulia hapo!
 
Kama they cant show what they have then its up to them.. Hakuna sheria ya nchi wala ya kidini inayolazimisha tajiri asiwe na show off.. Besides everyone has his/her way to show off.. Hao matajiri unaosema they don't brag out waambie watembelee Vits na wakae kwenye nyumba za kawaida..

Mistake kulazimisha kila mtu aishi kama mtakavyo..
 
Anamiliki chuo halafu unajijibu mwenyewe, mume mnakubaki yao na kutaka kujua wamepataje nanyi mpate kumiliki.

Vyuo ni umiliki wake na mama watoto wake aka Mke wa Diamond.
 
Kila mtu ana jinsi ya kushow off... Mfano, Mzee Mengi hatembei na gari yeyote zaidi ya Mercedes Benz..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…