Ivi dar live(mbagala) ni ya nan?


Very low! Na wewe unajiita great thinker??
 

Hivi kumbe hata nyie wa huko Dar mnaonana washamba pia? Nilidhani kwa kuwa kwenu huko Dar sisi wa mnaotuita "wa mikoani" ndo washamba! Kuna kitu kimoja huwa kinanishangaza kuhusu nyie wa Dar, huwa mnajiona ndo mnajua kila kitu na kila starehe iko huko kwenu, hiyo mindset iko mpaka kwa watoto wenu, wakija huku mara oh iko wapi Mlimani city, Coco Beach etc!

Huh! Wakati mwingine hata vitu rahisi tu vya kimaisha mpaka mhangaike weee! Anyway ni ligi yenu hiyo Mbagala na Kinondoni!
 
Very low! Na wewe unajiita great thinker??

wewe pimbi kweli nani kakuambia mimi najiita great thinker????mimi nipo hapa nikishafanya mambo yangu nakuja kuchungulia nyie mnaojidanganya ndo magreat thinker mnaongelea nini!
 
inasemekana kiwanja ni cha mh john cheyo ila dar live niya shigongo inawezekana kuna ubia wa kibiashara kati ya hawa wasukuma
 
inasemekana kiwanja ni cha mh john cheyo ila dar live niya shigongo inawezekana kuna ubia wa kibiashara kati ya hawa wasukuma

Kuhusu kiwanja cha nani sina hakika lakini kwa Shigongo umepata....
 
Ridhwan hakuna parking bana ondoa benk ya CRDB haraka tupate parking
 
mbona kama mnagombana marafiki? tupeane habari kwa amani jamani! dar live ina milikiwa na Global publishers.Amani kwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…