Sio suti tu, kila kitu Yanga lazima muige kutoka kwa Simba.
Hata Siku ya Vyura, Oh samahani ni Siku ya Wananchi mumeiga kutoka kwa Simba.
kiufupi Simba ni mwalimu wa Yanga ingawa huyu mwanafunzi mwenyewe ana kichwa kigumu kujifunza.
nyie jamaa ni washamba sana na wengi Kama wewe nahamini hata hiyo simba mmeanza kuifatilia labada bahada ya kuanza kupata back up ya Mudi.
Kwa taarifa yako hawa mikia hakuna wanachofanya young African the giant football sport club in east and central africa hawaja kifanya.
Kama utakua na kumbukumbu yanga ya kipindi cha manji ilitawala soka la bongo katika kila kona kuanzia uwanjani tulichukua kila kikombe hapa bongo unachokijua wewe, hata hii record yenu ya juzi ya kubeba kombe la ligi na FA sisi tulishafanya msimu wa 2016 kama ni kushiriki club bingwa ya africa tulihiwakilisha Sana nchi na unzuri wa yanga japo hatakufanikiwa kufika robo fainali lakini hata waarabu walikua wakija bongo walikua wanajua wanacheza na yanga mabingwa watanzania walikua na heshima siyo timu unapigwa tano Mara mbili mfururizo Kama boya.
Wala yanga tulikua hatuna record ya kutolewa raundi ya kwanza kama mikia just imagine timu iliyofanikiwa kufika quarter final Club bingwa ya africa unatoka round ya kwanza, kukosa consistency mahana yake ulibahatisha kwa hiyo hiyo Kwetu sio big deal.
Kama ni ubabe nje ya uwanja tuliufanya Sana kumbuka sakata la Mbui Twite, Kelvin Yondani na kesi.
Halafu usisahau kua yanga ilipo weka kambi uturuki, wakina manara watoto uswahilini ilibidi waje kumlilia Mudi ili nao waende kuweka kambi Turkey ili kuwajibu watani wao, kwa hiyo toka hapo simba mkawa mnatumia pesa za mudi kupita njia ileile aliyopita yanga uku mkidai mnalipa kisasi huku mkikiri hadharani kua yanga aliwatesa sana.
Kama kuleta wabrazili unaikumbuka yanga ya Maximo iliyokua na mafundi wa kibrazil Couthino na mwinzie Jaja, Naona mikia mliumia Sana kiasi kwamba mkalazimisha mudi asajiri wauza matango wa Brazil ukiangalia hadi leo kabaki mmoja yote hayo eti mnamjibu yanga kisa alishawai kuleta wabrazili.
Labda niwape tu ushauri nyie mikia mnaoshabikia tu, kama misukule achaneni na yanga, yanga sasa hivi tumashapanga kuachana na hilo soka la kijima soka la kujimbishana na kupigana vijembe kama tupo kwenye taarabu, tulishafanya kila kitu kwanye soka la bongo huu ni muda wa yanga kujiendesha kisasa ndio sababu tunashirikiana na watu wanaotuzidi kiuwezo na wanao Fanya vizuri katika uendeshaji WA Club kisasa kama lariga, na tuna ajiri washauri wazuri katika mambo ya kiundeshaji club kisasa, ata usajili wetu ni wa vijana walio na talent kubwa hii yote inaonesha dira ya club kuunda timu ya kiushindani kimataifa na malengo ya muda mrefu ya timu.
NB: mikia mtarukaruka Sana lakini club ya kwanza kubeba kombe la club bingwa africa kwa hapa bongo itakua ni Dar es salam Young Africans