Ivi mwanamke anayekupenda kweli anaweza kukunyima papuchi mpka siku atayoamua yeye au atakavyojisikia kukupa

Kweli kushare na rafiki ni muhimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo demu wake ni mtoto wa mchungaji labda
 
Aisee
 
Hawezi, atakuonea huruma sana.

Mimi kuna Msichana hadi yupo """Siku zake""" ananiambia ngoja nikusaidie, ananipa mzigo kidogo[emoji2]
 
Kaka nimekuelewa ivi mfano umepata binti ambaye anakujali kwa yote anakufanyia yote uyatakayo na anakusikiliza yote uyazungumzayo
Ila linapofika swala papuchi unapigwa kiswahili ivi hapa unazungumziaje
Hapo anakuwa hakuamini, anahisi akikupa utamkimbia...hahaha.

Au anaogopa, ni kama mtu aliyeng'atwa na nyoka[emoji2] akiona jani anashtuka.
 
Ukikuta yaliyomo yamo! Unakaacha kale kabinti kaliokuwa kanakujali???????????????????????????????
 
Kwa hyo mkuu wwe dem wako unakula[emoji13], ila tu unaumia mchz wako hapewi???!, au ni ww mwwnyw unatuzuga tu apaa!!?
Maan uko tooo empathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…