Ivi mwanamke anayekupenda kweli anaweza kukunyima papuchi mpka siku atayoamua yeye au atakavyojisikia kukupa

Ivi mwanamke anayekupenda kweli anaweza kukunyima papuchi mpka siku atayoamua yeye au atakavyojisikia kukupa

Ukikuta yaliyomo yamo! Unakaacha kale kabinti kaliokuwa kanakujali???????????????????????????????
Hapana sasa hapo ndo unaangalia major and minor factors !!
Niyupi kati yao anakustahili ?? Kisha unachagua mmoja .

Then unapiga magoti unaomba Mbingu zikusamehe,kiroho safi unaendeleza maisha.

Ujue, kuna watu walikua mabilionea sababu ya ujambazi wao, lkn baadae wakaacha ujambazi,wakatubu, nasaizi wanatumbua mihela na zaka na sadaka wanatoa km kawaida [emoji23][emoji23].
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]

So,bora uwe na mwisho mzuri.
Kuliko kuwa na mwanzo mzuri[emoji2]
 
Acha asipewe tu kama kanyimwa miez 7 kaja kukuambia nawe unakuja huku tueleza sasa akija pewa hyo siku moja si ndo atatumia maiki za msikiti kutangaza
Sidhani kama atatumia mic za msikiti.
Naona ataenda redio clouds
 
Kaka nimekuelewa ivi mfano umepata binti ambaye anakujali kwa yote anakufanyia yote uyatakayo na anakusikiliza yote uyazungumzayo
Ila linapofika swala papuchi unapigwa kiswahili ivi hapa unazungumziaje
Sometimes she is pitying u anakuonea huruma

Labda yeye mwenyewe ametambua kweli unampenda so she is trying to cuddle you ili usijihisi vibaya then kumbe na yeye yuko na mwanaume mwingine anayempenda

So anahofia kukuacha wewe na anahofia kumuacha huyo mwanaume mwingine inawezakua anajaribu kutafuta sababu ya kukupenda the same sababu ya kumchukia anayempenda na kukupa wewe nafasi

Keep it up mkuu vumilia yawezakua anakupima tu

Mapenzi ni bora zaidi ya ngono
 
Kaka nimekuelewa ivi mfano umepata binti ambaye anakujali kwa yote anakufanyia yote uyatakayo na anakusikiliza yote uyazungumzayo
Ila linapofika swala papuchi unapigwa kiswahili ivi hapa unazungumziaje
Hakuna lugha nyingine hapo, zaidi ya kupotezeana muda kwamba Kuna muhuni anatupia, kwa ujumla mapenzi hayakamiliki pasipo tendo la ngono...
Ova..
 
Kaka nimekuelewa ivi mfano umepata binti ambaye anakujali kwa yote anakufanyia yote uyatakayo na anakusikiliza yote uyazungumzayo
Ila linapofika swala papuchi unapigwa kiswahili ivi hapa unazungumziaje
Wengine ukute ana mdudu,sasa anakuonea huruma kukuunganisha kwenye gridi ya taifa,mi ishanitokea ivo nkammaindi sana demu,baadaye nakuna kugundua ni muathirika,mpaka leo namuheshimu yule dada,tokea kipindi hicho huwa sibembelezi papuchi,nikiona nawekewa ugumu nakonekti ze dots.
 
ukinyimwa papuchi unajichanga unatafuta manzi wako wa kando kisha una endelea na maisha ukiona huku pazuri una hamia kabisa.

huyo atakuwa anaumwa au anatatizo mahai ushauri wa kwanza waeende wakapime ngoma HIV na magonjwa ya zinaa.
kama hamna sida basi amchunguze yaweza kuwa ana tembea na Mshana Jr
 
Jamani naombeni msaada kuna rafiki yangu sasa unakwenda mwezi wa saba amenyimwa unyumba na hajawahi kupewa papuchi hata angalau ya kuonja kama kuomba ameomba sana mpka amechoka mwanamke anamwambia asubili mpka atakapokuwa tayali jambo linalomfanya aumie roho ajione kama labda ana kasoro.

Lakini hebu tujiulezeni vizuli ivi mwanamke anayekupenda kwa dhati na moyo wote ni kweli anaweza kukunyima papuchi hata ile ya kuonja nusu nusu anakubania sana
Kiongozi pamoja na kwamba unataka kuzuga wakati ni wewe hatukuruhusu kuendelea na hiyo biashara kwa sababu hata mungu hapendi uzinzi. Kingine huwa unamwombaje coz kama unaomba hadi unatoa machozi ujue hapo ameshaona anadeal na poyoyo hivyo ni bora uendelee kusubiri hadi hapo mahusiano yenu yatakapokua registered kwenye kitabu cha mungu. Yaani huyo mwanamke atawaacha wazazi wake aambatane na wewe. Saasawa kijana?
 
Ikifikia mahali mke au gf anakupangia matumizi ya utam ujue kuna walakini.

1- humridhishi
2- kuna njemba amepata huko nje inampa kiburi.

Namshauri mchiz achukue maamuzi ya kijerumani. first amuite huyo mkewe kwa mara ya mwisho ili kujua tatizo liko wako wapi wasuluishe.
Lakin kama huyo mwanamke asipoonyesha ushirikiano aweke amweke wazi kabisa kuwa asipompa ataenda kutafuta kwengine hayuko peke yake., hiyo yake anaweza kubaki nayo.

Na jamaa abadilishe mtindo wa maisha, no kula nyumbani hata kama mke kapika, akirud ni salam ,kuoga ,kitandani tena alale na jinsi. Akifanya hivyo mwezi tu atakuja kunipa majib
Wala hakuna haja ya kukomoana, jamaa anatakiwa kuchukua hatua za maksudi ikiwa ni pamoja na kumpotezea. Ila cha msingi cha kujiuliza hawa watu wana malengo gani? coz unawezakuta mwanamke keshamsoma jamaa na kagundua anaenda kuumizwa so kaamua kuweka kikwazo kwamba UTAMU HADI NDOA
 
Back
Top Bottom