Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hapana sasa hapo ndo unaangalia major and minor factors !!Ukikuta yaliyomo yamo! Unakaacha kale kabinti kaliokuwa kanakujali???????????????????????????????
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]Hapana sasa hapo ndo unaangalia major and minor factors !!
Niyupi kati yao anakustahili ?? Kisha unachagua mmoja .
Then unapiga magoti unaomba Mbingu zikusamehe,kiroho safi unaendeleza maisha.
Ujue, kuna watu walikua mabilionea sababu ya ujambazi wao, lkn baadae wakaacha ujambazi,wakatubu, nasaizi wanatumbua mihela na zaka na sadaka wanatoa km kawaida [emoji23][emoji23].
Kabisa ,anayecheka mwishon ,hucheka sanaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119]
So,bora uwe na mwisho mzuri.
Kuliko kuwa na mwanzo mzuri[emoji2]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Kabisa Mkuu[emoji2]Kabisa ,anayecheka mwishon ,hucheka sanaaa
Sidhani kama atatumia mic za msikiti.Acha asipewe tu kama kanyimwa miez 7 kaja kukuambia nawe unakuja huku tueleza sasa akija pewa hyo siku moja si ndo atatumia maiki za msikiti kutangaza
Sometimes she is pitying u anakuonea hurumaKaka nimekuelewa ivi mfano umepata binti ambaye anakujali kwa yote anakufanyia yote uyatakayo na anakusikiliza yote uyazungumzayo
Ila linapofika swala papuchi unapigwa kiswahili ivi hapa unazungumziaje
Yule dem wako alioolewa?Inawezekana mkuu mapenzi sio ngono tu ni vitu vingi. Kuna manzi nilikaa nae tokea March 2015 mpaka juzi February ndio nikala uroda..
Hakuna lugha nyingine hapo, zaidi ya kupotezeana muda kwamba Kuna muhuni anatupia, kwa ujumla mapenzi hayakamiliki pasipo tendo la ngono...Kaka nimekuelewa ivi mfano umepata binti ambaye anakujali kwa yote anakufanyia yote uyatakayo na anakusikiliza yote uyazungumzayo
Ila linapofika swala papuchi unapigwa kiswahili ivi hapa unazungumziaje
Wengine ukute ana mdudu,sasa anakuonea huruma kukuunganisha kwenye gridi ya taifa,mi ishanitokea ivo nkammaindi sana demu,baadaye nakuna kugundua ni muathirika,mpaka leo namuheshimu yule dada,tokea kipindi hicho huwa sibembelezi papuchi,nikiona nawekewa ugumu nakonekti ze dots.Kaka nimekuelewa ivi mfano umepata binti ambaye anakujali kwa yote anakufanyia yote uyatakayo na anakusikiliza yote uyazungumzayo
Ila linapofika swala papuchi unapigwa kiswahili ivi hapa unazungumziaje
Atakua member wa chaputa.Daa kwaiyo ndugu yangu hadi sasa umeamuaje na vipi unavuliamiaje hali kama hiii
Kiongozi pamoja na kwamba unataka kuzuga wakati ni wewe hatukuruhusu kuendelea na hiyo biashara kwa sababu hata mungu hapendi uzinzi. Kingine huwa unamwombaje coz kama unaomba hadi unatoa machozi ujue hapo ameshaona anadeal na poyoyo hivyo ni bora uendelee kusubiri hadi hapo mahusiano yenu yatakapokua registered kwenye kitabu cha mungu. Yaani huyo mwanamke atawaacha wazazi wake aambatane na wewe. Saasawa kijana?Jamani naombeni msaada kuna rafiki yangu sasa unakwenda mwezi wa saba amenyimwa unyumba na hajawahi kupewa papuchi hata angalau ya kuonja kama kuomba ameomba sana mpka amechoka mwanamke anamwambia asubili mpka atakapokuwa tayali jambo linalomfanya aumie roho ajione kama labda ana kasoro.
Lakini hebu tujiulezeni vizuli ivi mwanamke anayekupenda kwa dhati na moyo wote ni kweli anaweza kukunyima papuchi hata ile ya kuonja nusu nusu anakubania sana
Wala hakuna haja ya kukomoana, jamaa anatakiwa kuchukua hatua za maksudi ikiwa ni pamoja na kumpotezea. Ila cha msingi cha kujiuliza hawa watu wana malengo gani? coz unawezakuta mwanamke keshamsoma jamaa na kagundua anaenda kuumizwa so kaamua kuweka kikwazo kwamba UTAMU HADI NDOAIkifikia mahali mke au gf anakupangia matumizi ya utam ujue kuna walakini.
1- humridhishi
2- kuna njemba amepata huko nje inampa kiburi.
Namshauri mchiz achukue maamuzi ya kijerumani. first amuite huyo mkewe kwa mara ya mwisho ili kujua tatizo liko wako wapi wasuluishe.
Lakin kama huyo mwanamke asipoonyesha ushirikiano aweke amweke wazi kabisa kuwa asipompa ataenda kutafuta kwengine hayuko peke yake., hiyo yake anaweza kubaki nayo.
Na jamaa abadilishe mtindo wa maisha, no kula nyumbani hata kama mke kapika, akirud ni salam ,kuoga ,kitandani tena alale na jinsi. Akifanya hivyo mwezi tu atakuja kunipa majib