Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwallu asante kwa kunipa jukumu
hata hivyo ni kama ninaoteshwa neno fulani
hapa naona kama picha ya KakaKiiza ikiwa
mbele yako;
Ngoja niite kamati ya maombi kwanza
ili waweze kuifafanua ndoto Bujibuji japo ulikuwa
nyuma ya nondo sijui utakuwa huru lini; Paloma muke ya mutu sijui kama bado unao wito wa maombi; lady furahia japo umejichanganya sana lakini ukitubu utarudia wito wako;
Nasikia na Bishanga eti kaokoka; karibu tuombe ili mwallu awekwe huru;
jamani mamito nimechinganya wapi mie lakini
au unanipakazia mjengoni humu, sina hata
chembe wala tone la :busu humu ndani
sijawahi fanya hivyo hata mara 1 na sina mtu
yeyote humu mjengoni isitoshe hata :croc:
iweje leo uniambie kuwa nimejichanganya na
usikute unatumiwa bila kujijua, hebu
sahihisha msemo wako wa mwanzo
pls pls pls pls pls bestito :focus:
Sijui nianzie wapi kukushauri mamito mwallu
kwani hata mm nilikuwa mtawa mambo yakanishinda
Dayosisi ya nyanda za kati na kusini, si nikamezwa na
:smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow::smow:
nikaingia quality game na hivi sasa niko 2 in 1
Ila cha kukushauri bestito kuwa mtu wa maombi
na mtu mwenye kuipenda huduma yako ya utawa
huku ukichochea kwa sala na dua nadhani hapo
utasaidika bestito

Na wewe umeingia mkenge. Unataka kunambia mpaka sasa hujamjua mwallu ni nani?
Mtanishangaza. Ngoja nami nikaibuke na ile id nyingine niwarushe roho.
nlishtuka.....na nikaanza kukirieti picha zingine!!!
eti nipewe ruhusa na mai ozzbend ya kuja wapi!!!
ngoja nikaungame kisha naja toa boonge ya novena juu ya hili! na hivi huu ni mwezi wa Mama.....usijali kabisa!!!
Sister mwallu,
Hata Martin Luther alikuwa mtawa akauacha na kuingia ndani ya ndoa. Anywa sina maana hiyooooo ila sitaki tu uone kama dhambi kuuacha wito huo na kuufuata wito wa ndoa. Ingawa mimi braza Mentor nitasikitika kukukosa katika kumtumikia bwana full time natumai utakuwa unajiunga nasi mara moja moja.