kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Ntaomba sana! kumbe kuna watawa wa kike..
nilikuwa sijui hili
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuuacha utawa sio dhambi
ila mimi ni wito nilioitiwa,naona ivo kabisa..spiga maombi kwa sana tafadhari Mentor
Ni pale ulipokubali kupokea rushwa ya
kumpata mshindi wa wimbo bora tu
Nitapiga maombi iwapo ni kumwambia, 'Mapenzi yako yatimizwe'! Maana huo nao ni wito na huenda ulikuwa mtawa kwa sababu tu Mr. right hakuwa ametokea kwa muda mrefu kiasi.
jamani mamito nimechinganya wapi mie lakini
au unanipakazia mjengoni humu, sina hata
chembe wala tone la :busu humu ndani
sijawahi fanya hivyo hata mara 1 na sina mtu
yeyote humu mjengoni isitoshe hata :croc:
iweje leo uniambie kuwa nimejichanganya na
usikute unatumiwa bila kujijua, hebu
sahihisha msemo wako wa mwanzo
pls pls pls pls pls bestito :focus:
mbona unajihami sana mamitoow.........usipanic bana!
past is past!!! sawa mamy
utaipoteza bikra yako muda si mrefu na wito wako dada
hee
ivo tena?
aah wapi?
we pia unahitaji maombi