Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimechelewa kuja n@mwalu ila nina wasiwasi na uanawali wako kupotea punde
maana kama hutaki kupoteza nafasi yako ya utawa huyo kijana unataka kumwona wa nn hadi unaandaa semina lol
atazidi kukupagawisha na vikikolea lemba utalivua kama sister mary
kwani we unali parokia gani kwa sasa?
huu msukumo ndo unanifanya hata niwaze ivo...kwa maombi yako naamini sitavua lemba hata nikuona tena
ladyfurahia twende sawa sasa. Pata amani yako. Nilitaka kuona una ukomavu gani.
bestito mbona hapo waonekana umevua lemba
mwenzio huyu View attachment 116388hakuvua lemba na Mungu alimpenda kwa kazi yake hapa duniani
sitalivua ladyfurahia...amini n a niombee
ushindwe na ulegee sehemu zako zote za mwili
Hivi kwa akili zako unadhani ntakosa nafasi ya kukutana na mrembo. Hebu nijaribu tuone.