Ivi najaribiwa na muovu au nini?

jamani mamito nimechinganya wapi mie lakini
au unanipakazia mjengoni humu, sina hata
chembe wala tone la :busu humu ndani
sijawahi fanya hivyo hata mara 1 na sina mtu
yeyote humu mjengoni isitoshe hata :croc:

iweje leo uniambie kuwa nimejichanganya na
usikute unatumiwa bila kujijua, hebu
sahihisha msemo wako wa mwanzo
pls pls pls pls pls bestito :focus:
 
Huyo ni chaguo lakoooo....chaguo lakoooo....
Unaujua hio wimbo?
Utafute ni wa somebody SANGA
 
Ni pale ulipokubali kupokea rushwa ya
kumpata mshindi wa wimbo bora tu

Mamndenyi hakika nimepatwa na kigugumizi.
sina neno kwa huyu binti kwa sasa...................
 
Last edited by a moderator:
pole sana ladyfurahia...mie sitaki wala sitakaa niwaze kuondoka utawani..kuna raha yake ya kunitosha tu..sema tu hili pito nalo...mh!

Baba V..watawa tunalala parokiani tu..sio sehemu nyingine
 
Last edited by a moderator:
mwallu em mkemee shetani arudi nyuma

Na wewe umeingia mkenge. Unataka kunambia mpaka sasa hujamjua mwallu ni nani?

Mtanishangaza. Ngoja nami nikaibuke na ile id nyingine niwarushe roho.
 
Last edited by a moderator:

......kuuumbeeeeeeeeeeee!!!!
 
hahahahahahahaahhhh
usiwatishe watu. mwallu ni mwallu na ni ID ya mtu mmoja tu

Palomaa say sth au shusha maombi n

Erickb52 sitaki kuwaza hayo..niombee nishikamane zaidi na wito huu nilionao

nlishtuka.....na nikaanza kukirieti picha zingine!!!

eti nipewe ruhusa na mai ozzbend ya kuja wapi!!!

ngoja nikaungame kisha naja toa boonge ya novena juu ya hili! na hivi huu ni mwezi wa Mama.....usijali kabisa!!!
 
Hahaha mtawa 24/7 yuko chitchat anachat hata hustuki?? Stuka Paloma, think!!
 
Last edited by a moderator:
mwallu lakini unajisikiaje kwenye huo utumishi?
Je unaweza kuendelea kuvaa hizo pingu za Bwana?

Tunaye mtawa mmoja mstaafu (Jina limenitoka), aliposhindwa
alileta bango hapa na ndoa ikabarikiwa huku huku
na sasa anaendelea kula raha ya ndoa.
 
Last edited by a moderator:
kuuacha utawa sio dhambi
ila mimi ni wito nilioitiwa,naona ivo kabisa..spiga maombi kwa sana tafadhari Mentor
 
Last edited by a moderator:
Asprin unaruhusiwa kuwaza na kuhitimisha utakavyo
Mamndenyi huu wito ni kutoka moyoni..naupenda sana na sifikirii ndoa kabisa
kiwatengu ..maombi yako hapa yanahitajika
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…