Ivi najaribiwa na muovu au nini?

Kaizer sijui katekwaaa?
mbona haonekani?
Kaizer
semina ni lini. Nimeshapotelewa tena na mkanda wangu wa kiunoni
umenionea wapi. Samahani kama swali litakuwa gumu kwako lakini najua
munaongea lugha moja unaweza kuniitia hata kwa lugha ya mama.
 
Last edited by a moderator:
parokia ya mtakatifu teresa hapa kishapu
Mwenge Dsm, St Peter Dodoma,
St Theresia.Arusha, Nyakato Mwanza, Nyegezi Mwanza, chuo kikuu.Dsm na
saut Mwanza. Kazi.zangu nazungukia.zaidi.hayo.maeneo na hozo zote huwa
nasalu
 

DEMBA umesema?:eyeroll1::A S-confused1::shocked:
 
Last edited by a moderator:
:llama:karibu :llama:serengeti:llama: mwallu:llama:na :llama: DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Mtawa wewe sauti tu inalipa shida. Si uje huku uraiyani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…