Ivi najaribiwa na muovu au nini?

Ivi najaribiwa na muovu au nini?

Kaizer sijui katekwaaa?
mbona haonekani?
Kaizer
semina ni lini. Nimeshapotelewa tena na mkanda wangu wa kiunoni
umenionea wapi. Samahani kama swali litakuwa gumu kwako lakini najua
munaongea lugha moja unaweza kuniitia hata kwa lugha ya mama.
 
Last edited by a moderator:
parokia ya mtakatifu teresa hapa kishapu
Mwenge Dsm, St Peter Dodoma,
St Theresia.Arusha, Nyakato Mwanza, Nyegezi Mwanza, chuo kikuu.Dsm na
saut Mwanza. Kazi.zangu nazungukia.zaidi.hayo.maeneo na hozo zote huwa
nasalu
 
mmh jamani mwallu nadhani umeanza kupata hisia za kupenda. jiweke mbali na huyo mkaa bana usijepata majaribu bure!! ujue mimi niko kwenye zoezi la kukujoin huko utawani. hapa namtafuta mtu wa kuni "undo" tu. Baba V alitaka hii chance lakini bado nimemuweka kwenye probation.

DEMBA umesema?:eyeroll1::A S-confused1::shocked:
 
Last edited by a moderator:
:llama:karibu :llama:serengeti:llama: mwallu:llama:na :llama: DEMBA
 
Last edited by a moderator:
Mtawa wewe sauti tu inalipa shida. Si uje huku uraiyani tu.
 
Back
Top Bottom