Ivona kamuntu yupo vema sana

Ivona kamuntu yupo vema sana

Bila picha uzi wako ni batili
B04F5D65-1C29-470F-AA9A-FD05F95DC1B2.jpeg
 
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
Weka picha sasa

Ova
 
Ila mlevi sana
 
Mlevi umuonee wivu? 😡😡
Watu wa aina yako tunao makazini, yaani kuponda kila anayesifiwa kwa utendaji. Ukisikia watu wana appreciate utendaji wa staff mwenzenu basi unajawa kijiba na kuanza kuponda kuwa yule ni mchoyo, mdini nk. Nina uhakika wewe huko unakofanyia upo hivyo.

Acha wivu
 
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
Fundi umeme upo sahihi
 
Mnapokuwa kazini hamuoni umuhimu wa maandiko, ila mnapostaafu ndio roho mtakatifu huwashukia.

Ndugu yangu Retired au hela ya mafao imeshakata
FOR YOUR INFORMATION SOME RETIREES WANA MIRADI YA KUTOSHA KUISHI VEMA KABISA NAPENSHENI KUBWA TU. LAKINI ZINAA HAPANA. IKIMBIE ZINAAA, NARUDIA
 
Back
Top Bottom