Ivona kamuntu yupo vema sana

Ivona kamuntu yupo vema sana

FOR YOUR INFORMATION SOME RETIREES WANA MIRADI YA KUTOSHA KUISHI VEMA KABISA NAPENSHENI KUBWA TU. LAKINI ZINAA HAPANA. IKIMBIE ZINAAA, NARUDIA
Labda Ulaya na sio Bongo. Wastaafu wengi hapa ni mashaka na Stress na mnakuwa mmepigika sana .

Ila kama uliliheshimu neno ungali kijana na ungali kazini basi sina ugomvi na wewe na sio unanyenyekea kwa mistari baada ya kupigika .
 
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
Mumewe yupo hapo hapo, hachezi mbali naye, ila sijawahi kuona wakisema Habari pamoja
 
Mr....
.
 
Attachments

  • FB_IMG_1684531712707.jpg
    FB_IMG_1684531712707.jpg
    44 KB · Views: 3
Pathetic.

Kwa hiyo Bungeni tujaze watu kwa sababu ya urembo wao na sauti za kuvutia?

Hapo alipo ndipo panapomfaa. Kukuvutia tu ni sehemu ya kazi yake.
Halafu zinapopitishwa sheria za hovyo bungeni tu akuja kulalamimia Tra.
Kuna pumba zinaongewa bungeni hafi unashangaa , kumbe watu wanaangalia sura na sauti ya mbunge .
 
Niseme tu kuwa huyu mtangazaji napenda haiba yake. Mbali na muonekano wake mzuri lakini ana sauti na uongeaji wa kipekee sana. Ana personality very unique na ukimfuatilia anavyo soma habari au kufanya mahojiano utagundua pia Kichwani yupo Smart sana.
Huyu ni mtangazaji wa pili zao la Star tv/ RFA ambapo nakumbuka kulikuwa na mtangazaji mwingine zamani alikuwa anaitwa Joan Itanisa , Sijui alipotelea wapi naye huyu alikuwa mzuri sana.

Natamani Mamlaka za nchi zimfuatilie IVONA zimuone hata kumpa teuzi au Ubunge viti Maalum. Imagine Sauti ile ikisikika Bungeni.
Kilele cha mafanikio ya raia wa nchi hii wote ni kupata teuzi au platform za kisiasa?? Kama anafanya vzr kwann usimuombee aje kumiliki Tv yake ifanye vzr kuliko Azam??
 
Back
Top Bottom