SS, unajitahidi sana, you are doing justice to your job, unakula oesa halali kwa kazi uliyotumwa na kulipwa.
Kwenye hili la mishahara ninakuinga mkono kuwa ni kosa kubwa linalofanywa na serekali ya chama changu, nina imani kuwa iwamu ijayo litarekebishwa.
Iwapo mishara haiongezwi, basi serekali ipunguze Ushuru, ili biashara ishamiri, na vitu na vyakula viwe vya bei nafuu.
UAE - Dubai, wamewagomea jirani zao Saudia kuongeza kodi ya VAT kutoka 5% hadi 15%, na custom duty bado iko palepale 4%, na baadhi ya vitu havilipiwi custom duty. Biasha zao zimeshamiri sana na mzunguko ni mkubwa sana hivyo vijikodi wanazopata zinekuwa mara dufu ya ingekuwa kodi zao ziko juu, ndio maana biashara yao ya RE-EXPORT ni kubwa sana ni $146 billions kwa mwaka, jee nasi tusingeweza pata hata robo ya hiyo kwa re export kwa nchi jirani, badala ya wao kwenda China, Dubai ama Uturuki, mashirika mengi yange fungua branches TZ, uchumi wetu ungepanda, ajira zingekuwa kemkem.