Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,119
Na hpo ni mpka yesu aamue kuongeza, asipoamua itabaki hvyo hvyo mpk 2025 Mungu akijalia, yesu oyeeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atafanya hivyo maana hawez kumtwisha zigo mtawala ajae
Watu ushindwa kuelewa.Nchi sio chama,nchi ni katiba panapo katiba yeyeto tu hata liquid anaweza ongoza, kuongoza sio labda kuna mtu special, kiongozi ni Kama figure tu nembo ya nchi kukamilisha tu protocol.Yeyeto tu au chama chochote tu kinaweza ongoza tuache mazoea.Vyama kibao vya ukombozi vilishakufa na nchi zinasonga,Hakuna nchi isiyo nchi duniani imefutika eti tu chama asisi kimekufa.Hakuna chama chenye hatimiliki au mkataba wa kudumu
Kwa uovu huu,ndio maana hajiamini kushinda kabakia kutegemea mabavu.Na hpo ni mpka yesu aamue kuongeza, asipoamua itabaki hvyo hvyo mpk 2025 Mungu akijalia, yesu oyeeee.
Ubavu nao una mwisho wake, wako wapi watemi waliotikisa ulimwengu kina hittler etc.Kwa uovu huu,ndio maana hajiamini kushinda kabakia kutegemea mabavu.
😂 😂 😂 😂 😂 hayo machozi yatunzeMkuu hilo likitokea nitalia machozi ya furaha na huzuni kwa jinsi Nchi yetu ilivyopitia vipindi vigumu mno chini ya hawa wahuni. Nadhani pia Watanzania wengi watalia machozi ya furaha na huzuni na mitaani itakuwa kama tumepata uhuru wetu kwa mara ya kwanza na furaha yake ile furaha ya December 9, 1961 haitaona ndani kabisa kwani itakuwa kubwa sana isiyo kifani.
Mkuu mimi naamini kabisa Wafanyakazi wengi wanajitambua, Wakulima wengi wanajitambua na Wafanyabiashara wengi wanajitambua. Mateso makubwa waliyoyapata ndani ya hii miaka mitano chini ya huyo dikteta KAMWE hawawezi kumpigia kura Mbunge wa ccm wala huyo dikteta lakini bila TUME HURU ya Uchaguzi hiyo ni kazi bure kwani kutakuwa na wizi wa kufa mtu ambao pia unaweza kusababisha damu kumwagika sehemu mbali mbali nchini. TUME HURU ndiyo dawa pekee ya kuwaondoa hawa wahuni madarakani.
![]()
Tutawaongeza mshahara 2025, kuwa na uvumilivu.Mada kama hizi!huwa zinanifanya nitukane hadharani huyu jiwe !halafu Melo na genge lake wananifungia mwezi na nusu jf!!!!
mkuu unaongeaga madini matupu,ni kweli mshahara asipopandisha makato ya pesheni yatabaki vilevile na hivyo kuathiri mafao ya watumishiKwa upande wa Watumshi wa Umma,Bajeti hii iliopita jana inamanisha jambo moja kubwa sana kwao nalo ni kubaki na mshahara ule ule wa tangu mwaka wa fedha wa 2015/2016 ulioanza July, 2015 na mshahara huo wataenda nao mpaka mwaka wa fedha wa 2021/2022(July 2021) hapa ikamanisha watakaa kwa kipindi cha miaka 6 na mshahara ule ule, na asipongeza tena hiyo July, 2021 iwapo CCM itarudi madarakani, maana yake watakaa kwa miaka 7 mpaka July, 2022 katika mwaka wa fedha wa 2022/2023.
Hakika hii ni hatari na hili jambo lina madhara makubwa sana kwa watumishi na madhara haya yatagusa mpaka mafao yao kwani mshahara mtu anaostaafu ndio hutumika katika kukokotoa mafao yake(nijuavyo mimi) hivyo athari za kutopandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa miaka hii 6 itagusa kila mtumishi alieko katika utumishi wa umma leo hii hata kama bado ana miaka 10 au 20 ya kuendelea kuwa kazini unless utaratibu wa kukokokotoa mafao utakuja badilishwa huko mbeleni.
Kuirudisha CCM madarakani itakuwa ni kosa kubwa sana la kuendeleza unyanyasaji huu wa watumishi wa umma.
inakera sana,MTU ameshindwa lakani anarudishwa tenaHapa si kuirudisha madarakani. Wanajirudisha wenyewe na huwezi kufanya lolote kuzuia mkuu. Utafanyaje kwa mfano. Inaskitisha sana yani
ExactlyMkuu hilo likitokea nitalia machozi ya furaha na huzuni kwa jinsi Nchi yetu ilivyopitia vipindi vigumu mno chini ya hawa wahuni. Nadhani pia Watanzania wengi watalia machozi ya furaha na huzuni na mitaani itakuwa kama tumepata uhuru wetu kwa mara ya kwanza na furaha yake ile furaha ya December 9, 1961 haitaona ndani kabisa kwani itakuwa kubwa sana isiyo kifani.
PAYE imepungua kwa TZS 51,000 itaongeza net pay kwa TZS 51,000Mkuu, watumishi wa umma wako laki nne hivi. Hata wasipopiga kura upande wa YESU hawawezi kuleta tofauti yoyote. Suala la muhimu ni kwamba wajiongeze tu kutafuta kipato cha ziada kwenye biashara ndogo ndogo