JEKI
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 4,845
- 2,957
Hivi vyama vya wafanyakazi havijatoa tamko kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahhWafanyakazi hawajielewi, achana nao wale joto yajiwe!
Mkuu hii taarifa ina ukweli wowote?PAYE imepungua kwa TZS 51,000 itaongeza net pay kwa TZS 51,000
DuuuhKuwa mfanyakazi Tanzania ni Laana
If wishes were horsesNina imani sana kuwa baada ya uchaguzi wa mwaka huu jina la Tanzania litatajwa sana nchini uholanzi
wanamuogopaHivi vyama vya wafanyakazi havijatoa tamko kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020?
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama vyenyewe vimejaa mapandikizi unategemea vitatoa tamko ganiHivi vyama vya wafanyakazi havijatoa tamko kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020?
Sent using Jamii Forums mobile app
""Kuirudisha CCM madarakani itakuwa ni kosa kubwa sana la kuendeleza unyanyasaji huu wa watumishi wa umma.""Kwa upande wa Watumshi wa Umma,Bajeti hii iliopita jana inamanisha jambo moja kubwa sana kwao nalo ni kubaki na mshahara ule ule wa tangu mwaka wa fedha wa 2015/2016 ulioanza July, 2015 na mshahara huo wataenda nao mpaka mwaka wa fedha wa 2021/2022(July 2021) hapa ikamanisha watakaa kwa kipindi cha miaka 6 na mshahara ule ule, na asipongeza tena hiyo July, 2021 iwapo CCM itarudi madarakani, maana yake watakaa kwa miaka 7 mpaka July, 2022 katika mwaka wa fedha wa 2022/2023.
Hakika hii ni hatari na hili jambo lina madhara makubwa sana kwa watumishi na madhara haya yatagusa mpaka mafao yao kwani mshahara mtu anaostaafu ndio hutumika katika kukokotoa mafao yake(nijuavyo mimi) hivyo athari za kutopandisha mishahara ya watumishi wa umma kwa miaka hii 6 itagusa kila mtumishi alieko katika utumishi wa umma leo hii hata kama bado ana miaka 10 au 20 ya kuendelea kuwa kazini unless utaratibu wa kukokokotoa mafao utakuja badilishwa huko mbeleni.
Kuirudisha CCM madarakani itakuwa ni kosa kubwa sana la kuendeleza unyanyasaji huu wa watumishi wa umma.
Asante kwa kuweka mkazo.Pamoja sana!""Kuirudisha CCM madarakani itakuwa ni kosa kubwa sana la kuendeleza unyanyasaji huu wa watumishi wa umma.""
NAKAZIA.
#YNWA