Uchaguzi 2020 Iwapo CCM itarudi madarakani, watumishi wa umma kukaa miaka sita na mshahara ule ule wa tangu Julai, 2015

Na hpo ni mpka yesu aamue kuongeza, asipoamua itabaki hvyo hvyo mpk 2025 Mungu akijalia, yesu oyeeee.
 
Upo sahihi mkuu
 
Hii nchi ya ajabu sana unathamini ujenzi kuliko hata maisha ya raia wako
 
Mkuu hao watumishi wako wangapi? wananchi wa kawaida(wakulima, wajasiriamali, wafanyabiashara wadogo n.k) ni wengi zaidi na ndio wanaomkubali jembe. Jiandae kisaikolojia mzee atapita kwa zaidi asilimia 90% ya kura zote.
 
😂 😂 😂 😂 😂 hayo machozi yatunze
 

unalipenda sana hili gazeti la 2019, we ulishawahi kuona wapi watumishi wa umma kokote duniani wana furaha na mishahara yao? hakuna na haitawahi tokea! ukishaitwa mfanya kazi wewe unatakiwa kufanya kazi, na ndo kote duniani kupo ivo, infact nchi kama USA unamaliza tu shule unadaiwa mkopo wa mil 70 mpaka 100, hapo hujapata hata kazi, umeingia mtaani you use something called credit cards, madeni pia jumla! na ukiingia ofisini kamwe huezi kulipa hayo madeni na haiwezekani kodi yenyewe unakatwa 60%, ukiachana na jinsi life is expensive there!
 
Wafanayakazi wa uma hapa Bongo ni wanyenyekevu mmno.hata ktk sekta zenye risk kama za afya.Miaka 5 bila nyongeza ya mshahara sijawahi ona popote duniani hii
 
Wanawaweka watoto wao katika nafasi nzuri za kimaslahi,wanafanya vivyo hivyo na kwa ndugu zao pia,haitoshi wanaendelea kuwabeba marafiki zao pia,wasio na mahusiano nao ambao ndio wengi wanawaumiza, hawaifikirii kuhusu hatma yao,Mungu ni Fundi sana,ipo siku atailipa hii Karma kwa kuwa mara zote kilio cha mnyonye huleta dhahama kubwa sana kwa mnyongaji.
 
Mada kama hizi!huwa zinanifanya nitukane hadharani huyu jiwe !halafu Melo na genge lake wananifungia mwezi na nusu jf!!!!
 
Hili la mishahara ya watumishi wa uma ni ajenga hatari sana ya uchaguzi. Wakipatiakana watu wakaitumia vizuri ajenda hii ,,uma utawaunga mkono sana.
 
mkuu unaongeaga madini matupu,ni kweli mshahara asipopandisha makato ya pesheni yatabaki vilevile na hivyo kuathiri mafao ya watumishi
 
Cha kushangaza, hao watumishi ndio wa kwanza kuomba kazi ya ukarani mkuu na muongozaji kwenye uchaguzi mkuu, acha wapapaswe.
 
Exactly
 
Reactions: BAK
Mkuu, watumishi wa umma wako laki nne hivi. Hata wasipopiga kura upande wa YESU hawawezi kuleta tofauti yoyote. Suala la muhimu ni kwamba wajiongeze tu kutafuta kipato cha ziada kwenye biashara ndogo ndogo
PAYE imepungua kwa TZS 51,000 itaongeza net pay kwa TZS 51,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…