Uchaguzi 2020 Iwapo CCM itarudi madarakani, watumishi wa umma kukaa miaka sita na mshahara ule ule wa tangu Julai, 2015

Jamaa ana chuki za wazi kwa watumishi wa serikali sijui walimkosea nini
 
""Kuirudisha CCM madarakani itakuwa ni kosa kubwa sana la kuendeleza unyanyasaji huu wa watumishi wa umma.""

NAKAZIA.

#YNWA
 
kweli yaliyosemwa miaka mitano(5) iliyopita, leo hii najionea mwenyewe.
hakika nitafanya maamuzi ambayo hayatanoteza siku za baadae.
 
Yupi kati yao anaroho ya ubinadamu kwa watumishi wa umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…