Wanabodi
Mimi Pasco wa jf, sio muumini wa Muungano huu , ni muumini kwa ukweli halisi na ukweli daima wa kihistoria kuwa Zanzibar, ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!, hatihitaji muungano wowote na Zanzibar kwa sababu ni sehemu yetu ya kihistoria kabla hawajaja wavamizi fulani kutoka huko walikotoka, na kuvivamia visiwa vyetu vile, just like that as if wameviokota, ndio maana mawazo yangu kwenye muundo wa muungano, nilipendekeza Muungano wa serikali moja, Zanzibar iwe treated tuu kama mkoa wa Zanzibar wenye wilaya mbili za Uguja na Pemba!. Naamini wale Watanzania halisi, wote hili wataliafiki, ila kuna uwezekano wale vizalia vya wavamizi, ambao sasa wamekuwa naturalized wanaweza kulipinga!, hivyo nashauri kama vipi, turudi kwenye historia tulivyokuwa mwanzo, na wavamizi wote wasiotaka, tuwakusanye, tuwasombe, tuwarudishe kwao kwenye asili yao!.
Pasco