Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
- #61
Mkuu DASM , siku zote humu jf, mimi ni mkweli Daima kwa kuusema ukweli uliopo no matter what. Nimeandika mengi kuhusu muungano, hili ni moja ya mabandiko hayo.wewe unasema Elimu ya Uraia ni muhimu.Ni muhimu kweli ili watu wafunguke akili.. Nafikiri ni mtu mpumbavu tuu anayekubaliana na muundo wa huu Muungano. Marehemu Mch Christopher Mtikila ndio pekee aliweza kuudadavua huu Muungano unavyoiathiri Tanganyika. Nafikiri Mzee Pascal Mayala unazo akili na unaelewa vizuri Sana kuhusu hii ishu ya Muungano Ila unataka kubase upande.
P