Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

Nyie fahamuni muda wenu umekwisha.
 
Hata wewe unajua Magufuli alikuwa Godfather wa;
Polepole
Makonda
Sabaya
Hapi
Chalamila
Kabudi
hadi leo huwa sijui kwanini happi bado yupo kwenye hii serikali. huwa sielewi kabisa kwasababu wenzake wote walishadondokea pua. kwa kiburi kile cha kumkemea JK hadharani na kumtishia kumshughulikia? kitoto kidogo kama kile kinamtishia Rais Mstaafu aliyetawala nchi kwa miaka 10. just imagine.huwa hata sielewi.
 
Unataka uombwe radhi wee jambazi uliyelelewa na jiwe!

Ajabu kweli kweli!
Wewe ndiyo utuombe radhi Watanzania kwa dhuluma uliyotufanyia ukisimamiwa na jiwe jambazi!
Jambazi ni wewe uliyepata fursa ya kuuza dizeli kihuni sasa
 
Nape asijisahaulishe alipokua WAZIRI ALIKUA ANAONGEA lugha kali za ajabu ajabu hata Mambo ya Bunge kutoonyeshwa Live aliyaratibu na Kuyasimamia Hivyo aliooondolewa Uwaziri akaanza Kilio kama Pole pole Na Wengine Wengi hawa wote ni manafiki tu yanajiangalia Kuwa na Mgari wa Umma na Madaraka bila hivyo anajifanya yuko upande wa Wananchi..acheni hizo wote nyie Ni matumbo tumbo basi.
 
Ktk viongozi waadilifu na magufuli yumo?? myfoot!
 
Nape nilishamtoa akilini tangu enzi zile alipolipwa mil 800 na kushirikiana na wauza madawa. Na asidhani taasisi ya rais ni mtu, ule ni mfumo haujafa! Ila alivyo mjinga mh. Nape ikitokea leo kaja rais mwingine na akarudisha misimamo ya Dkt Magufuli utashangaa ataomba msamaha.
 
Chawa wa Jiwe mnapata tabu sana ! jiwe kishang'oka , NDIO BASI TENA
 
Nafikiri tuachane na hao jamaa tujikiye na kazi za Samia Suluhu Hassan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…