Iwapo Nape anamaanisha Magufuli ni GodFather wa PolePole atastahili kuomba radhi mapema

Aombe radhi kwa nan labda?? Mzee ni bora u realize mambo yashabadilika kutesa kwa zamu. Na mtu akifa kafa tu hakuna namna nyingine au nasema uongo ndugu yang!
 
Kwani nani asyejuwa kama magufuli alikuwa ni Godfather wa vijana wote wahalifu waliokuwa na vyeo wakati ule. Makonda mpaka ilifika kudiriki kusema labda waziri mkuu alikuwa akihongwa wa wauza shisha huwezi kuthubutu kumwambia waziri mkuu maneno kama hayo hata kama ni utani kwenye hadhara bado ukabakia madarakani bila ya kuwa na Godfather aliyejuu kabisa ya system.
 
Usiwe mwongo nape hakusema Godfather aliita godfather sijui nimeeleweka
 
Najaribu kuvuta taswira ya Nape Nnawie alipokuwa akikatisha Ikulu kwenda kuomba msamaha, Nalinganisha na kauli zake leo, nagundua kuwa Tanzania hatuna kabisa viongozi. Kuna kundi la wajasiliamali wa kisiasa tu. Toka ngazi ya juu hadi chini.
Na Lissu aliyemkosoa JPM akiwa live tumuweke wapi
 
Viroboto mmeguswa kunako eee? Ila ni kweli, Nape kakosea maandishi, haiwezekani kusema ‘godfather’ angesama aliye kuwa anajiona yeye ni godfather!
 
Chato International Airport
Na kile kibaraza alicho apishiwa Madelu kuwa bwana sheria asiye jua sheria! Hivi kile kibaraza kina tofauti na hii bar ya mbege ya Manka hapa Rau Madukani?!
 
Kosa walilolifanya akina Polepole na kundi lao kumuacha mtu mmoja akiwa na miguvu yote na leo hawapo wamebaki yatima....wenzao walitengeneza mtandao mpana unaoishi wa watu wanaoonekana na wasioonekana..

Kosa la ndugu zetu walijisahau wakiamini JPM bado yupo sana na wao wataendelea kuwa na miguvu kwa mgongo wa JPM mwenye dola.... wakashindwa kutengeneza mtandano wao mpana ukiwa na figures nyingi zenye nguvu...
 
Hicho kifo cha Magufuli kwa nini msikihoji sasa hivi?
Kama mna hoja/ushahidi kuwa hakikutokana na natural causes na mkakaa kimya hamuoni na nyie mnakuwa ni accesory kwenye hiyo assasination?
 
Uzuri Nape sio Chadema
 
THE UNDENIABLE FACT IN THIS WORLD IS THAT YOU HAVE GOT TO BE VERY CAREFUL WITH THE WAY YOU DEAL WITH SOME PEOPLE. SOME PEOPLE WITH A THOUGHT THAT AT SOME POINT SOMEWHERE YOU HAPPENED TO MANIPLULTE THEM, BE IT TRUE OR NOT, ARE LIKELY TO SPEND THEIR ENTIRE LIFE SEEKING REVENGE AGAINST YOU.
 
Hakusema waziri Mkuu bana..[emoji1787][emoji1787]
Alimsema Sirro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…