Mbona mgumu kuelewa hoja aisee!Basi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.
Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.
DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Kama mdau mwengine alivyokujibu hayo ni maeneo ya waisilamu kihalali kabisa.Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Ardhi yote ya Tz ni mali ya serikali hakuna mtu au taasisi yeyote inayo miliki ardhi.Toa mifano hai Sheikh! Maana ukiona makanisa yapo jirani na taasisi za serikali mfano shule, vyuo, nk basi utambue fika ni hiyo serikali ndiyo iliyofuata hayo makanisa.
Ndivyo ulivyofundishwa? Nenda kavamie kiwanja cha mtu useme ni mali ya serikali.Ardhi yote ya Tz ni mali ya serikali hakuna mtu au taasisi yeyote inayo miliki ardhi.
Mm sina hayo mamlaka kwa sababu mm sio serikali ila serikali ikipataka sehemu yeyote ndani ya nchi hii ww unaye jiita mwenye ardhi utahama upende usipende.Ndivyo ulivyofundishwa? Nenda kavamie kiwanja cha mtu useme ni mali ya serikali.
Ardhi ya Tanzania ni mali ya Watanzania husika wanaoimiliki.
Makanisa ni watu binafsi misikiti niya umma tofauti iko hapoSio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Shobo zenu za kutaka kuingia miji ya watu ndiyo hii! Rudin kwenu magazo huko mkaendeleze ushoga wenu huu mji muuacheIweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Kushindwa ikiongozwa na mkristo kuna Rais mdini kumzidi nyerere? Mkapa na magufuli? Acheni ushoga nyie wakatoliki na wakristoSerikali ikiongozwa na muislamu nchi huwa ya kiislamu tangu enzi za mzee ruksa

Uwelewa wako mdogo na chuki ya udini inakutafuna uzuli utaishia kuumia moyoni tu mwisho utaugua ugonjwa wa mayo kwa upumbavu wako,wakati serikali inabomoa kujenga stendi ya mewenge ulikuwe msikiti ulivunjwa lazi serikali ifidie msikiti huo kwa sababu huo msikiti ulikuwepo kitambo waulize wenyeji usilete ushamba wako hapa ulichanganyika na chuki ya ukafiri hata feri hivio hivio huo msikiti leo ndio umeona kabla ya mfalme wa Korea kujenga soko la feri huo msikiti ulikuwepo tena kabla ya uhuru wavuvi wapemba na wandegereko na Makonde wakiswali hapo waulize wenyeji Kabula ya kuleta ukafiri wako hapaIweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Unateseka ukiwa wapiIweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Serikali gani hiyo labda yule mshenzi tu alie kuwa anauma na kupuliza kama panya alihamisha kingi na kupeleka kanisani wakina bakwata wakajengewa msikiti misikiti inasimamiwa na waisilamu na kujenga pia ukiona kafiri anajenga tambua kuna jambo tena baya kwa isilamuSio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Amekurupuka usingizini achana naeUmefuatilia makanisa baadhi yalipojengwa?
Sisi tuta zidi kuimalisha misikiti hili tupate sehemu ya kuabdia nyiyi chsngeni mjenge viuo lakini wanao faidika sio nyiyi bali ni wachungaji na watoto wao mwenzgu wewe utaishia kusifia tuWaislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Huyo alie sema misikiti imejengwa katika eneo la serikali ajui anacho kisema mfano mwenge ujenzi wa stendi walibomoa msikiti ulikuwepo kitambo tena ujenzi huo umeanza wakati Magufuli leo heti selikali inajenga misikiti haya feri msikiti huo upo tangu na kabla ya uhuru wakiswali wavuvi hata hiyo ikulu ilijengwa kwenye eneo la waisilamu zama hizo leo kafiri kaona hiyo misikiti kadhani inajengwa kwe maeneo ya umma pia anae ijenga ni mama samia chuki ni ugonjwa mbaya siku ukienda dar fika mwenge kaulize huo na fika feri piaHayo makanisa yamejengwa kwenye maeneo ya serikali?
Mshenzi wewe wamekulaumu kwa lipi?Waislamu hawajiwezi hawawezi panga vitu.. Wanachoweza ni lawama
Jemima Mrembo matumizi mabaya ya neno mremboIweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.