Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kumbe hujui kitu DC sio cheo cha kisiasa? Rudi darasani.
Mkurugenzi wa Wilaya ndio sio mwanasiasa
hujafanya kazi kwenye utumishi wa umma una bwabwaja tu ili mradi uandike chochote. ili uwe mkuu wa idara lazima uwe na kadi ya ccm wakurugenzi hivyo hivyo. kwa taaarifa yako huwezi kupewa nafasi kubwa kama ya kuwa rais wa CWT kama siyo mwana ccm/kitengo. wambiie wakwambie. msipende kubwabwaja mambo msiyoyajuaMkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Unajua maana civil servant?Wawakilishi wa raisi kwenye serikali ni mawaziri tu (hao tu ndio wanatakiwa kuwa wanasiasa).
Wengine wote ni civil servants ambao wanatakiwa kuwa neutral, labda una changanya kwa sababu katiba yetu imempa raisi mamlaka ya kuteua kila sehemu na wanajaza makada.
Kumbe ata siasa zenyewe uelewi wala how the government works.
Sheria za nchi zinasemaje? Mavi wewe . Pimbi mkubwa.hujafanya kazi kwenye utumishi wa umma una bwabwaja tu ili mradi uandike chochote. ili uwe mkuu wa idara lazima uwe na kadi ya ccm wakurugenzi hivyo. wambiie wakwambie
Maana yake wanatemeshwa ajira kamandaMkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Kivipi?Maana yake wanatemeshwa ajira kamanda
One who works in the civil serviceUnajua maana civil servant?
Kamanda mchomvu vipi tena unafoka kulikoni,,,🤔Sheria za nchi zinasemaje? Mavi wewe . Pimbi mkubwa.
Waachane na ajira waende siasaniKivipi?
Mtumishi wa umma anaomba anjira na anaajiriwa na tume ya utumishi wa umma. We fala hujui kuwa Dc ni mteule wa rais?One who works in the civil service
Ok umeshinda sina muda wa kupoteza na mtu ambae hujui ata abc za serikali.
Haya umeshinda
Kwani viongozi wa CWT wanakuwa bado wanaendelea kuwa watumishi wa sirikari?Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake. Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu sishe na siasa. Polisi na hata wanajeshi pia. Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Sio nafasi ya kisiasa hiyo. Ila hata kama wewe ni mfuasi wa Mbowe unadhani siku Mbowe akiwa Rais atamteua mkuu wa wilaya ambaye hajui itikadi na sera za CHADEMA? Pia kasome Ibara ya 46 ya katiba ya Tanzania ujue madaraka ya Rais.Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Raisi pia anateuaMtumishi wa umma anaomba anjira na anaajiriwa na tume ya utumishi wa umma. We fala hujui kuwa Dc ni mteule wa rais?
KATIBA KATIBA iwe muarobaini wa huu uchafuzi!!Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Tatizo la viongozi walioingia madarakani kwa wizi wa kura hawajali sheria wala katiba ya nchiMkuu wa wilaya ni mjumbe wa kamati lukuki za CCM ndani ya wilaya yake.
Mwalimu kama mtumishi wa umma anatakiwa asiwe mwanasiasa na asijihu
sishe na siasa.
Polisi na hata wanajeshi pia.
Inakuwaje? Rais anateua wakuu wa wilaya walimu?
Tatizo Ccm wanateua wanasiasa kushika nyadhifa ambazo hazikupaswa kuwa za kisiasa.Nilikuwa najiandaa kuileta hii humu. Hongera.
Makosa waliyafanya mapema kuwafanya kwa lazima RC na DC wanasiasa badala ya watumishi wa umma.
Tena lazima uwe mwanasiasa wa ccm katika mfumo huu wa vyama vingi
Toa kifungu cha sheria.Sio kweli.
Usipotoshe!
Mtumishi anaruhusiwa kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa isipokuwa awapo kazini hapaswi kutoa huduma kwa ubaguzi wa aina yoyote ile.