Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kumbe hujui kitu DC sio cheo cha kisiasa? Rudi darasani.
Mkurugenzi wa Wilaya ndio sio mwanasiasa
Nafasi za siasa ni zile zinazogombaniwa na kupigiwa kura.
Nafasi za utendaji na usimamizi serikalini sio za kisiasa. Mbona hii ni common knowledge tu.
Shida hapa ni kwamba kwenye hizi teuzi za Ma RC/DC maraisi wetu wanateua sana makada.
Lakini kiuhalisia DC ni mtumishi wa umma na serikali.