Izzo Business aachia nyimbo akiwachana wasanii na mamlaka zilizopo bila kupepesa

Izzo Business aachia nyimbo akiwachana wasanii na mamlaka zilizopo bila kupepesa

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Moja ya jambo la kushangaza ni Msanii wa Hip-hop, Izzo Business kuachia kibao akishusha mistari kuwachana wasanii wenzake waliokuwa hawapiganii haki za wananchi badala yao walirundikana kwenye semina na kampeni za chama kimoja kama mchwa.

Badala ya kupinga vikali matukio yaliyokuwa yakitendeka. Pia vilevile amemchana Mama na utawala kwa ujumla kwa kushinda kuwajibika ipasavyo kulinda Raia na vile vile kushindwa kuleta mageuzi makubwa katika nyanja za maendeleo ya nchi na watu.

Kula chuma icho


View: https://youtu.be/jzYgv4jGbuU?si=UtuC-KRzEVoaXAm7
 
Back
Top Bottom