Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
Its only your mindset
Asalaam Alaeykhum shekhe ...ni muda hatujakwaruzana. Salama lakini?
Nina maana nyingine hapo iliyofichika....Ilimu....
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?
Hii ni mikoa strategical kwa chuo kama kile tena waangalie zaidi na maeneo kama Kigoma na Tabora, maeneo kama Mbeya au Rukwa waachane nayo siyo strategical
ijumaa njema ustaadhi, peace
Inashangaza possible wafadhili kama Saudi Arabia wanataka tu kutoa misaada ya mafunzo na waalimu wa dini.Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
...........hao ndio walionyimwa fursa !.........fursa ilikuwa kwa 'nyoka wa mdimu' na Nkapa tu !
Hii ni mikoa strategical kwa chuo kama kile tena waangalie zaidi na maeneo kama Kigoma na Tabora, maeneo kama Mbeya au Rukwa waachane nayo siyo strategical[/QUOTE
Lengo la kuanzisha hivyo vyuo ni kuhudumia watanzania wote ama waislamu pekee?
Kama ni hivyo huo ni ubaguzi.
Jamani mtu yeyote mwenye plan ya kuangalia hiyo mikoa tajwa, mwacheni tu akaendeleze coz kuko nyuma mno.....
................mmmmmh! strategic zao unazijuwa wewe !?
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Sio kweli kwamba walinyimwa fursa ya kupata elimu, ila waliamua wenyewe kuipa kisogo elimu dunia kwa kuzama sana kwenye elimu akhera.
Hata kwenye hicho chuo elimu ya dini imepewa kipaumbele sana,that's why JK amewachana live.
jaman alowaambia MuM ni cha kidini ni nani?Inashangaza possible wafadhili kama Saudi Arabia wanataka tu kutoa misaada ya mafunzo na waalimu wa dini. MUM iwape vipaumbele wafadhili kwamba ni academics maana wakiwa university ya dini peke yake mchango wao kwa maendeleo ya nchi itakua hakuna.
umewah kufika MUM au unakifaham hiko chuo,au una nakala ya mtaala au?