J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.
Hata mi nimefurahishwa sana na mikakati yao ya kujitanua......ila kwa nini mikakati hiyo inalenga mikoa ya pwani peke yake?Lindi, MtWARA,Pwani, Tanga na Morogoro why?

Jamani mtu yeyote mwenye plan ya kuangalia hiyo mikoa tajwa, mwacheni tu akaendeleze coz kuko nyuma mno.....
 
Hii ni mikoa strategical kwa chuo kama kile tena waangalie zaidi na maeneo kama Kigoma na Tabora, maeneo kama Mbeya au Rukwa waachane nayo siyo strategical
 
...........hao ndio walionyimwa fursa !.........fursa ilikuwa kwa 'nyoka wa mdimu' na Nkapa tu !
 
................mmmmmh! strategic zao unazijuwa wewe !?
 
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.
Inashangaza possible wafadhili kama Saudi Arabia wanataka tu kutoa misaada ya mafunzo na waalimu wa dini.

MUM iwape vipaumbele wafadhili kwamba ni academics maana wakiwa university ya dini peke yake mchango wao kwa maendeleo ya nchi itakua hakuna.
 
...........hao ndio walionyimwa fursa !.........fursa ilikuwa kwa 'nyoka wa mdimu' na Nkapa tu !

Sio kweli kwamba walinyimwa fursa ya kupata elimu, ila waliamua wenyewe kuipa kisogo elimu dunia kwa kuzama sana kwenye elimu akhera.
Hata kwenye hicho chuo elimu ya dini imepewa kipaumbele sana,that's why JK amewachana live.
 
Hii ni mikoa strategical kwa chuo kama kile tena waangalie zaidi na maeneo kama Kigoma na Tabora, maeneo kama Mbeya au Rukwa waachane nayo siyo strategical[/QUOTE

Lengo la kuanzisha hivyo vyuo ni kuhudumia watanzania wote ama waislamu pekee?
Kama ni hivyo huo ni ubaguzi.
 
Jamani mtu yeyote mwenye plan ya kuangalia hiyo mikoa tajwa, mwacheni tu akaendeleze coz kuko nyuma mno.....

Suala sio kuwa nyuma dada, kuna kitu nyuma yake zaidi hilo!
​Lakini ni wazo zuri.
 
Rais Kikwete akiwa Muslim Universty ya morogoro, amewataka wahadhiri wa chuoni hapo kuhakikisha wanazalisha wahitimu wenye uwezo wa kushindana katika soko la ajira.Kauli hii kwangu inanipelekea kuamini kuwa, J.K amewaambia hivyo kwa kuamini kuwa, wamekuwa hawafanyi academics bali wanafanya kwa kiasi kikubwa dini, hivyo mwanafunzi atokaye pale hana lolote la kumuuza kwenye soko la utandawazi.take care wakuu.Hata hivyo, nimefurahishwa na chuo hicho kuwa na mipango ya kujitanua huko kilosa na kilwa. wakifanikiwa wataheshimika sana.

hakuna jambo ambalo litafanywa na waislam nyie likawafirahisha,jaman ushaur kama huu kwani ni mara ya kwanza kutolewa kwenye taasisi zetu za elim hapa bongo?

Eeeh,kazi ipo
 
Sio kweli kwamba walinyimwa fursa ya kupata elimu, ila waliamua wenyewe kuipa kisogo elimu dunia kwa kuzama sana kwenye elimu akhera.
Hata kwenye hicho chuo elimu ya dini imepewa kipaumbele sana,that's why JK amewachana live.

umewah kufika MUM au unakifaham hiko chuo,au una nakala ya mtaala au?
 
Inashangaza possible wafadhili kama Saudi Arabia wanataka tu kutoa misaada ya mafunzo na waalimu wa dini. MUM iwape vipaumbele wafadhili kwamba ni academics maana wakiwa university ya dini peke yake mchango wao kwa maendeleo ya nchi itakua hakuna.
jaman alowaambia MuM ni cha kidini ni nani?
 
Ni ushauri wa kawaida ambao kama mkuu wa nchi angeutoa hata kwa st.John, mengine ni tafsiri zenu tuu, halafu ni muhimu sana kuepuka mambo ya udini ni mabaya na chokochoko zinaanza hivihivi, kwani mtu hawezi kutoa maoni bila kutaja dini ya mwenzake?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom