J.K. Awaasa Muslim University Morogoro

Status
Not open for further replies.
Kwa nini isiitwe Morogoro Musilim Seminary?(MUS)
 

Kwani Waislaam hawalipi kodi ?
Hapo ni kimoja tu, vikifiko 10 naona mtakunywa sumu ! Kudadadaadeeeki !
 

MoU ndo inajenga na wizi wa misamaha ya kodi
 

Hakuna bure. Ww deni la irani hilo
 
UTAHANGAIKA SANA DOGO......
Vipi hauna mpango wa kuresit paper ya form four mwaka huu? au ndo unasubiri kwanzza majibu ya ile tume?

Mie madrasa inanitosha ! Imeniwezesha kujua Mungu hakuwahi kupigwa picha wala kuonwa na mtu !
 
kama viongozi wenu wameruhusu ushoga nyie mna nafasi gani ktk dunia hii ya leo nijibu

na kwa kuwa viongozi wenu wamehalalisha ugaidi na uharamia,nyie mna nafasi gani katika dunia hii...NIJIBU!
 
wewe kanunue ile picha mungu kapakatwa na mama. Yake anataka kunyonyeshwa !

kwa jinsi unavyopata shida na hiyo picha acha nikuache upumue kidogo maana nikiendelea waweza kwenda kuchoma nyumba zetu za ibada bure.......maana hazikutoshi wewe!
 
Kuna Elimu inayopita Elim Akhera ?
Ndo maana mnanunua picha dukani kisha mnasema mungu !

na kuna wehu huponda ukuta mawe wakisema shetani! Ajabu kubwa ni kuwa shetani hilo liko mji mtakatifu. Kwi! Kwi! Kwi!
 
Toka muwe mashoga upendo umepungua sana sijui hao mabwana wanawaambia nini
 
Ungefundishwa elimu ya dini ungenunua picha ya mungu dukani !?
Mmeghafilika nyie !

mbona we hujaoa katoto ka miaka 9 kama ostazi Moud? Na yule shetani mnayempiga mawe kumbe ukuta? Ujinga mzigo
 
Wale wanaosoma vile vitu mnaita Theologia na Liturugia na ile Elimu ya Dr Slaa huwa wanaishia kufanya kazi gani ?

seminary huwa haendi kilaza wewe. Angalia mashule bora category ya under 45 utaona! Hakuna padri wa kanisa katoliki aliyepata div 3, div 4 au div 0. Wote ni vichwa. Vipi sheikh mkuu? Masheikh?
 
heri hicho cha mum kuliko vile vyenu kwa muda wa miaka 50 vimetoa wahitimu ambao wana mawazo mgando wasiojua kutafakari ambao wanategemea kuamuliwa maswala yao kutoka nje.MUM kwa muda mfupi iliodumu imechangamsha nchi watu wanajua haki zao

hapa unaongelea UDSM. Kilaza wewe
 
kama viongozi wenu wameruhusu ushoga nyie mna nafasi gani ktk dunia hii ya leo nijibu

Yombo Vituka madrasat binti alikuwa analawitiwa na maalim toka ana miaka 9. Nadhani kiislam kakomaa huyu. Hata mtume alioa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…