J R Bocco, Tusamehe sisi, Tusamehe sisi, Tusamehe sana

Da Gladiator

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
1,641
Reaction score
2,646
Salaam wanamichezo,
Ni zaidi ya mechi kumi sasa 'captain fantastic' John Rafael BOCCO amedorora na mpaka kuonesha kiwango kama alichokionesha leo🀝,

Nampongeza sana na kwa niaba ya WanaMsimbazi napenda kumpa moyo na afanye zaidi ya alivyofanya Leo.

Napenda pia kuwaambia mashabiki wa SimbA SC ya kuwa mechi hizi za kimataifa, zitatupa nguvu, kujiamini vya kutosha sana.

Vilevile nalaani vitendo vya vurugu michezoni. (mpira sio uadui)

ZINGATIO: Mnasemaje UTO kuhusu 'penalty' ya leo ?!

Karibuni kwa maoni, naruhusu mkwazano na makasiriko, povu rukhsa 'duvet' langu chafu.
 
Mimi ni mmoja Kati tuliomtaka Bocco astaafu Kwa heshima!Ila Leo amepambana sana!Ni mapema sana kumpa sifa hizi ila anachotakiwa ni kumaintain! Utakuwaje kama kila mechi 10,Moja ndio anafanya vizuri?

Ajitume kutoa wasiwasi Wana Simba!
 
ASB Barkene watakaocheza na Simba mechi inayofata washampiga mtu mkono wa nyani amame zao.
 
Na hii ndio maana halisi ya subra..je viongozi wangechukua jukumu la kumtimua? Kwenye mpira kinachotokea kwa boko ni vitu vya kawaida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…