Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Salaam wanamichezo,
Ni zaidi ya mechi kumi sasa 'captain fantastic' John Rafael BOCCO amedorora na mpaka kuonesha kiwango kama alichokionesha leo🤝,
Nampongeza sana na kwa niaba ya WanaMsimbazi napenda kumpa moyo na afanye zaidi ya alivyofanya Leo.
Napenda pia kuwaambia mashabiki wa SimbA SC ya kuwa mechi hizi za kimataifa, zitatupa nguvu, kujiamini vya kutosha sana.
Vilevile nalaani vitendo vya vurugu michezoni. (mpira sio uadui)
ZINGATIO: Mnasemaje UTO kuhusu 'penalty' ya leo ?!
Karibuni kwa maoni, naruhusu mkwazano na makasiriko, povu rukhsa 'duvet' langu chafu.